Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

Fukara

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,624
Reaction score
930
Wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani. asa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3 na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira.

Sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job, mimi nipo tu home na shemeji yangu, kid anapelekwa shule asubuh mpaka jioni. Shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli.. Yaani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana.. Maana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo.

Juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu. Jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje maana uzalendo unaelekea kunishinda asee. Maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.

Naombeni ushauri wenu wadau.

Asanteni.
 
Kama havai vizuri mwambie dada yake amweleze. Halafu kama ni suala la utani na shemeji jambo la kawaida hivyo sio kuwa anataka.

Halafu acha kushinda nyumbani, nenda kashinde maktaba, au tafuta kazi ya kujitolea.

Halafu mkataba wako umeisha au haujawa renewed?
 
Hana adabu anaingiaje chumbani ukiwemo huyo anataka mpe afurah then mpotezee
 
mkataba umeisha.. upo nyumban mwez mzima.. badala ya kutafta kaz ingine umekalia tu kumtaman shemej ako....
kwa taarifa ako huyo shemejiyo hana time na wewe....
mmh sawa mkuu
 
Yaan mwanaume huna kazi alafu unashinda umelala nyumban?ebu acha kutuchafulia jina la wanaume, Wewe tumia jina la mtoto wa kiume..Jina la mwanaume bado hujalifikia.
 
Back
Top Bottom