HAy njoo kule. Unaogopa?[emoji3][emoji3]
Anachokitafuta atakipata
😀😀 eti shetani atanishangaa, kwa lipi la ajabu kwake yeye anataka ufanye uzinzi ili utatuliwe linda.mkuu ni mke wa mtu halaf tunaishi nyumba moja... nahisi sio busara hata shetani atanishangaa..!!!
sio la kitoto hili mkuu... mke wa mtu kucheka nae sipendagi kabisa ila mazoea yake na ya mume wake kwangu ndio yameharibu.. wamenizoea sana...!
Amblock tu maana si kila Mwanaume ana kifua cha kukataa Mwanamke ikiwa atakuwa kashaongozwa kihisia na kichwa cha chini.Kaza kabisa yy mwenyewe ataghaili ucjibu hizo msg zake usihame maana shughul ya kuhama si ndogo gharama nying uwanze upya pesa ya dalali mara usafili yaan ni usumbufu, kubadili namba usibadili Kuna watu wa muhimu utawapoteza kwa sababu za kimama
Kama kuna kaulweli vile?umekuja hapa ili tubaliki, maake kila unaloshauriwa unaijfanya huelewi...kweli hii december vacation
TZ ya vi-woder.Mbona unakua mchoyo kiasi hiko unakosa hata utu wakumsaidia jirani yako? Unamuona jinsi mwenzio anavoteseka kwa mumewe hata kumliwza unashindwa?
Gegegeda mkuu umpunguze majonzi