Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,337
- 93,990
VP ana chura?kumuuliza hivyo huwa siwezagi mkuu yaan najisikiaga vibaya sana kumjibu mtu vibaya..!
Piga chiniana kimlima kadogo sana hana umbo kivile... ni kipotabo..!!!
ninachoongea hapa ndio hali halisi... sijadanganya kitu wala kuongeza chumvi... na pia hajanitongoza ila ananipa mitihani mkuu usibadili uzi..!Wanaume wengi humu JF kila nyuzi zenu siku izi ni kua "" mke wa mtu ananitongoza"
Lkn kiuhalisia ni wewe mwenyewe, uloomba namba za huyo demu, tena nahisi ulizuomba bila mumewe kujua.
Tena naamin 100% mnawasiliana bila mumewe kujua.
Na kwasababu ya Usiri huo ndio unaofanya akujibu sawasawa na unavyomchatisha.
Ushauri.... Siku izi, mume na mke wote wanatumia ARVs !!
Penda wepesi!!
upo sawa kabisa... sasa mi nafikiria nihame ile nyumba ...hapo vp..!!!Mkuu nakushauri uyo mtu mkwepe kadiri utakavyoweza mana mke wa mtu sumu coz ukianza tu kumpiga pumbu mtazoeana kama unavyojua mtoto wa kike hawezi kuzuia hisia zake mwisho wa siku mambo yataharibika ukajiaribia
Ahahahahaaa mkuu umenichekesha lakini umeongea ukweli kabisaWanaume wengi humu JF kila nyuzi zenu siku izi ni kua "" mke wa mtu ananitongoza"
Lkn kiuhalisia ni wewe mwenyewe, uloomba namba za huyo demu, tena nahisi ulizuomba bila mumewe kujua.
Tena naamin 100% mnawasiliana bila mumewe kujua.
Na kwasababu ya Usiri huo ndio unaofanya akujibu sawasawa na unavyomchatisha.
Ushauri.... Siku izi, mume na mke wote wanatumia ARVs !!
Penda wepesi!!
Mkuu kuama sio kuondoa tatizo inshu ni kueshimiana kila mtu afanye ya kwake coz pale wewe unakaa kwa pesa yako so ikibidi mwambie ukweli akuelewe najua kwa mtoto wa kike ni ngumu coz anafanya ayo kwakuwa anafrastration za mumewe so anafanya ivyo kama kumlipiza au kumkomoa mume wakeupo sawa kabisa... sasa mi nafikiria nihame ile nyumba ...hapo vp..!!!
Ndo ivo mkuuAhahahahaaa mkuu umenichekesha lakini umeongea ukweli kabisa