Shemeji ananiharibia ndoa yangu

Shemeji ananiharibia ndoa yangu

Kuna Iddy, majini, outing na umalaya.
Ukichanganya vyote unapata Mkwajuni na mbezi.
mbavu sina
images-512.jpg
 
Habari zenu,

Nina shemeji yangu kaachwa na mume wake huko Arusha yeye ni mchaga wa kawawa rd na ni wa kike na mumewe anaitwa Iddy yaani hadi najuta kwanini sikusuruhisha hiyo ndoa japo nakiri nisingeweza.

Mdogo mtu ni mke na ni mgonjwa nikiri katupiwa mashetani maana anaumwa sana kichwa zaidi ya miaka kumi sasa sasa toka aje mke wangu amekuwa akimtoa out japo nami nawatoaga out lakini kama machale yamenicheza mke kazidi nyendo mbaya wanawezatoka wote ukimpigia simu hapokei ila ukimpigia dada mtu anakuambia nimemuacha nyumbani amelala sasa nipo home namuuliza dada wa kazi anasema walitoka wote lakini anakataa dada mtu hapana nilimuacha home.

Jana nikamchna toka umeachwa na mumeo umekua mwiba maana mke wangu amepata mwingine sasa mtakula jeuri yenu, sintotoa pesa ya matumizi nami leo sijatoa pesa tena huko alipokuwepo jana atakuwa kapewa pesa ya kula leo nami nimehamia kwangu mbezi maana hayo majini yake yatanichelewesha na ninafanya mpango na watoto nitawakomboa tu na majini, ila iddy njoo mchukue mkeo kinondoni mkwajuni maana huu ni zaidi ya umalaya
Mtoto IDDY kama alivyomuimba Juma Nature
 
Mkewe ana mdogo ake Malaya mwenye majini amekuja kwake baada ya kutupiwa majini ya umalaya na mumewe anaeitwa iddy, anamwambia iddy aende kumchukua mkewe aliemtupia majini ya umalaya maana anamfunza mkewe umalaya, sasa hujaelewa nini hapo mkuu?
Kuna jini la umalaya😲😲😲😲😲
 
Simu iliingia maji maneno yakajitype yenyewe.
 
Mkewe ana mdogo ake Malaya mwenye majini amekuja kwake baada ya kutupiwa majini ya umalaya na mumewe anaeitwa iddy, anamwambia iddy aende kumchukua mkewe aliemtupia majini ya umalaya maana anamfunza mkewe umalaya, sasa hujaelewa nini hapo mkuu?
Baada ya kusoma hii ndo na Mimi nimeelewa sasa😂
 
Habari zenu,

Nina shemeji yangu kaachwa na mume wake huko Arusha yeye ni mchaga wa kawawa rd na ni wa kike na mumewe anaitwa Iddy yaani hadi najuta kwanini sikusuluhisha hiyo ndoa japo nakiri nisingeweza.

Mdogo mtu ni mke na ni mgonjwa, nikiri katupiwa mashetani maana anaumwa sana kichwa zaidi ya miaka kumi sasa sasa toka aje mke wangu amekuwa akimtoa out japo nami nawatoaga out lakini kama machale yamenicheza mke kazidi nyendo mbaya.

Wanawezatoka wote ukimpigia simu hapokei, ila ukimpigia dada mtu anakwambia nimemuacha nyumbani amelala. Sasa nipo home namuuliza dada wa kazi anasema walitoka wote lakini anakataa dada mtu hapana nilimuacha home.

Jana nikamchana toka umeachwa na mumeo umekuwa mwiba, maana mke wangu amepata mwingine sasa mtakula jeuri yenu, sintotoa pesa ya matumizi nami leo sijatoa pesa.

Tena huko alipokuwepo jana atakuwa kapewa pesa ya kula leo, nami nimehamia kwangu Mbezi. Maana hayo majini yake yatanichelewesha, na ninafanya mpango na watoto nitawakomboa tu na majini. Ila iddy njoo mchukue mkeo Kinondoni Mkwajuni maana huu ni zaidi ya umalaya.
Kuna watu watadundana siku si nyingi 🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom