na si ajabu dushelele alijiingiza mwenyewe.
Hii kesi haimfungi Mbasha akipata wanasheria makini.....Mungu atamsimamia.Ingawa akilini mwangu nahis walikuwa na mahusiano
Ndio kubaka kwenyewe huko. Ukitembea na binti mwenye umri chini ya miaka kumi na nane hata kama ni kwa makubaliano, unabaka
Hii inshu unaiona jinsi ushahidi unavyobadilika badilika huenda hata huo umri ni danganya toto.
Maana ndio kwanza wameanza, na huyo ni shahidi wa kwanza, Yale mengine yalikuwa maneno ya mtaani utaskia hivi mara vile! Bt polisi wanajua wenyewe uzito wa ushahidi walionao.Ila hatujui uzito wa ushahidi walionao.
Alimfunika mdomo na kumkaba shingo? Afu akambaka mara 3 siku tofauti?
Huyu jamaa kwani ana mikono mingapi? mmoja ukamkaba shingo mwingine ukamziba mdomo sasa aliwezaje kubaka!? ni wazi binti naye alitoa ushirikiano kwa kumvua nguo jamaa na mengineyo
Ila hatujui uzito wa ushahidi walionao.
Naona kuna kila dalili Mbasha atafungwa jela.
Hujui maana ya kubaka kijana eeeh, angalie usifungwe, soma hapa...Rape is a type of sexual assault usually involving sexual intercourse (or other forms of sexual penetration) initiated against one or more individuals without the consent of those individuals. The act may be carried out by physical force, coercion, abuse of authority or against a person who is incapable of valid consent, such as one who is unconscious, incapacitated, or below the legal age of consentKubaka sio rahisi kama katika movie. Jaribu uone kama utapenyeza. Ndio sababu wazungu hutumia silaha kutisha ama madawa. Huyu demu mwongo hamna kesi hapa kwani akiambiwa atoe maelezo jinsi alivyobakwa step by step hataweza sheria ni very complex haimtii mtu hatiani kirahisi hivyo la sivyo tungejaa jela kama kila angeamua kusema tuu amebakwa.
Labda jela kwa gwajima.Naona kuna kila dalili Mbasha atafungwa jela.