Shemeji aeleza jinsi Mbasha alivyombaka

Shemeji aeleza jinsi Mbasha alivyombaka

Magazetini

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
593
Reaction score
1,713
mbasha+clip.jpg




Kwa ufupi

Shahidi huyo ambaye ni shemeji yake, mwenye umri wa miaka 17, aliyasema hayo jana wakati akitoa ushahidi wake katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.

Dar es Salaam
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kubaka inayomkabili mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameieleza mahakama jinsi mshtakiwa alivyomkaba shingo na kumziba mdomo kwa kutumia nguo, kisha kumbaka.

Shahidi huyo ambaye ni shemeji yake, mwenye umri wa miaka 17, aliyasema hayo jana wakati akitoa ushahidi wake katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.

Hata hivyo, kesi hiyo ilisikilizwa kwa faragha(Chamber Cort) baada ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali Nassoro Katuga kuiomba mahakama kesi hiyo kuendeshwa kwa faragha kwa kuwa imefikia hatua ya kusikilizwa na sheria inaonyesha kuwa mtoto huyo yupo chini ya miaka 18.

Ombi hilo lilikubaliwa na pande zote mbili na kesi hiyo kuendeshwa katika mahakama ya faragha na Hakimu, Wilbaforce Luhwago aliomba watu wote walikuwepo ndani ya mahakama hiyo kutoka nje ili kupisha upande wa mashtaka kutoa ushahidi.

Akiongozwa na mwendesha Mashtaka wa Serikali Nassoro Katuga, shahidi huyo alidai siku ya tukio, Mei 23, mwaka huu, mshtakiwa aliondoka na mke wake kwenda kufuatilia mkanda wa video lakini ghafla alirudi nyumbani kwake Tabata Kimanga akiwa peke yake.

Alidai siku hiyo ya tukio mshtakiwa alifanikiwa kufanya mapenzi na binti huyo na kumwambia asimwambie mtu wakati mke wake akiwa hayupo nyumbani hapo.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Septemba 12,2014

CHANZO: ​Mwananchi

 
Alimfunika mdomo na kumkaba shingo? Afu akambaka mara 3 siku tofauti?
 
Huyo binti kwangu mimi namuona ni muongo mtu utiwe tambara la mdomo lazima angezimia tu asingekuwa na pumzi za kuweza kufanya hilo tendo la ndoa
 
Sheria Dunian,Haki mbinguni.

Mke wako anatumika na wewe lazima ufungwe!
 
ni hatari hz pesa hizi si mchezo mkuu mbasha mungu yuko pamoja nawe haya ndo madhara ya ndoa watu wawili mke na mume mashemeji ni kuja kusalimia na kuondoka na wao watafute maisha yao pumbavu kabisa mashemeji hao wanatia doa sana ndoa za watu huwaga hawajielewi wanaweza kutumiwa kama hivyo pumbavu
 
Kwani hii movie bado inaendelea? Mi nilijua imeisha kumbe series yake ni ndefu!
 
Afu uyu frola n mwehuuuu sn... On a sasa anavojiabisha jmn c bora wangepotezeana tu.. Huyo mdogo wake mwenyewe macho juu juu km shangingi....
 
Huyu jamaa kwani ana mikono mingapi? mmoja ukamkaba shingo mwingine ukamziba mdomo sasa aliwezaje kubaka!? ni wazi binti naye alitoa ushirikiano kwa kumvua nguo jamaa na mengineyo
 
Naona kuna kila dalili Mbasha atafungwa jela.
 
Kubaka sio rahisi kama katika movie. Jaribu uone kama utapenyeza. Ndio sababu wazungu hutumia silaha kutisha ama madawa. Huyu demu mwongo hamna kesi hapa kwani akiambiwa atoe maelezo jinsi alivyobakwa step by step hataweza sheria ni very complex haimtii mtu hatiani kirahisi hivyo la sivyo tungejaa jela kama kila angeamua kusema tuu amebakwa.
 
Hii kesi haimfungi Mbasha akipata wanasheria makini.....Mungu atamsimamia.Ingawa akilini mwangu nahis walikuwa na mahusiano
 
Huyu jamaa kwani ana
mikono mingapi? mmoja ukamkaba shingo mwingine ukamziba mdomo sasa
aliwezaje kubaka!? ni wazi binti naye alitoa ushirikiano kwa kumvua nguo
jamaa na mengineyo

na si ajabu dushelele alijiingiza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom