grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Siyo chotara ndiyo maana wakamtoa nduki ndani ya wiki moja tu.Kwani Kanumba naye chotara?
![]()
Siyo chotara ndiyo maana wakamtoa nduki ndani ya wiki moja tu.Kwani Kanumba naye chotara?
![]()
Siyo chotara ndiyo maana wakamtoa nduki ndani ya wiki moja tu.
Hivi binadamu nyie mnajithamini ?mnapeleka machotari badala ya kuteuwa miongoni mwa Bantu halisi wa Tz wenye kila sifa za kuwa katika mashindao ya Big brother ,tujiulize vijana wa TZ wenye kuinukia ambao ni wabantu watajisikia vipi ? kwa mara nyengine mmeshindwa kujithamani sasa nani unategema akuthamnia ,na kwa hilo ndio tunawapelekea Ndugu zetu kujichubuwa na kuweka makatani vichwani ,kweli rangi na nywele za singa zina matter.
Hiyo ndicho kigezo kikuu cha ushiriki, kinyume na hapo vi vigumu kuishi humo.Kwa kingledha kile?
Serikali ilishatoa tamko kuwa haijihusishi kwa namna yoyote na ushiriki wa BBA, sasa sijui kwa nini walalama kuwa inapaswa tujitangaze wakati BBA it's a personal accolade...
BBA ilianza lini na Kapuya mara ya mwisho kuwa Waziri ni lini?Kapuya akiwa waziri alishawhi kuhudhuria na kutoa hotuba wakati fulani akisema anawatakia kila la kheri kwakuwa lifika pale na gari la serikali nafikiri Serikali ilishiriki
Wtanzania tuache UPUMBAVU, sasa nini hiki cha kugombania? Yaani BBA ni kitu cha kukiweka akilini kama msingi wa maisha? Kwa nini tunaishi kwa illusions?
Sasa ulitaka upelekwe wewe na huu ujuha wako hata kiswahili hujui? Hebu angalia hizo bold na kiingereza chako cha sheme
Mhh huu sasa ubaguzi.kwahio mashombeshombe sio watanzania hata kama wamezaliwa hapo,wamekulia hapo,wazazi watanzania na taifa pekee wanalolijua ni tanzania.Hivi binadamu nyie mnajithamini ?mnapeleka machotari badala ya kuteuwa miongoni mwa Bantu halisi wa Tz wenye kila sifa za kuwa katika mashindao ya Big brother ,tujiulize vijana wa TZ wenye kuinukia ambao ni wabantu watajisikia vipi ? kwa mara nyengine mmeshindwa kujithamani sasa nani unategema akuthamnia ,na kwa hilo ndio tunawapelekea Ndugu zetu kujichubuwa na kuweka makatani vichwani ,kweli rangi na nywele za singa zina matter.
Mbona huwaoni watu wenye Nyuso za kina Wasira kuchaguliwa katika mambo kama hayo
sheme ndio nini?
Weusi..
Kwani Kanumba naye chotara?
![]()
Hivi binadamu nyie mnajithamini ?mnapeleka machotari badala ya kuteuwa miongoni mwa Bantu halisi wa Tz wenye kila sifa za kuwa katika mashindao ya Big brother ,tujiulize vijana wa TZ wenye kuinukia ambao ni wabantu watajisikia vipi ? kwa mara nyengine mmeshindwa kujithamani sasa nani unategema akuthamnia ,na kwa hilo ndio tunawapelekea Ndugu zetu kujichubuwa na kuweka makatani vichwani ,kweli rangi na nywele za singa zina matter.
Mkuu Safari_ni_Safari hapo kwenye blue ulimsoma vizuri?Kwani Kanumba naye chotara?
![]()