Kumbesa
Senior Member
- Dec 29, 2011
- 113
- 22
Hivi binadamu nyie mnajithamini ?mnapeleka machotari badala ya kuteuwa miongoni mwa Bantu halisi wa Tz wenye kila sifa za kuwa katika mashindao ya Big brother ,tujiulize vijana wa TZ wenye kuinukia ambao ni wabantu watajisikia vipi ? kwa mara nyengine mmeshindwa kujithamani sasa nani unategema akuthamnia ,na kwa hilo ndio tunawapelekea Ndugu zetu kujichubuwa na kuweka makatani vichwani ,kweli rangi na nywele za singa zina matter.
