Najua huyu mh. Mbunge na bado anaendelea kuwa mkoa wa Manyara, ilo linakera , lakini kero zaidi ni namna anayotoa hoja bungeni ni kama kwanza ndo bado yuko kule kwa wananchi alikozoa kutoa amri mkoani.
Kama kuna yoyote aliyesikiliza kikao cha bunge cha jioni ya leo ataungana nami, anatoa ushauri kwa serikali kuwa iwathibiti hao wanao fanya mikutano ya siasa, kwake hiyo anaiona ni kama ni vurugu katika nchi. hapa naona tatizo la mtu kuwa na kofia zaidi ya mmoja , hivi anafikiri pale anaongoza ni mkoa ? ndo maana waligombana na Ole Sendeka , hana maana