Shekif ukuu wa mkoa na ubunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shekif ukuu wa mkoa na ubunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jnuswe, Jun 14, 2011.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Najua huyu mh. Mbunge na bado anaendelea kuwa mkoa wa Manyara, ilo linakera , lakini kero zaidi ni namna anayotoa hoja bungeni ni kama kwanza ndo bado yuko kule kwa wananchi alikozoa kutoa amri mkoani.
  Kama kuna yoyote aliyesikiliza kikao cha bunge cha jioni ya leo ataungana nami, anatoa ushauri kwa serikali kuwa iwathibiti hao wanao fanya mikutano ya siasa, kwake hiyo anaiona ni kama ni vurugu katika nchi. hapa naona tatizo la mtu kuwa na kofia zaidi ya mmoja , hivi anafikiri pale anaongoza ni mkoa ? ndo maana waligombana na Ole Sendeka , hana maana
   
 2. K

  Kaseko Senior Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hilo lizee huwa halina akili, mi nimesoma na mwanae kabisa naye alikuwa vivyo hivyo, lina uroho wa madaraka sana na ubwa nyenye linaupenda kama ulisikiliza hoja za Silinde utakuwa tuko pamoja sana.
   
 3. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakubali bwenyenye babu kubwa , haya ndo yanayoweza kuhatarisha amani, muonekano wake na point linazotoa haviendani pumba tupu
   
 4. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,044
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  ...ukuu wa mkoa na ubunge...huyu simtegemei kabisa kama anaweza kukataa posho za bungeni na vikao
   
 5. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  hivi performance yake ikoje
   
 6. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Hana lolote namjua in out ni mbunge wa jimbo langu. Alipigwa chini 2005 akarudi tena mwaka jana na akashinda kwa njia za ki ccm. Huwa anapenda sana kucheza na wanawake ngoma moja inaitwa kidembwa, kina mama hao pombe yao maarufu inaitwa boha.

  Asubiri gharika 2015.
   
 7. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kumbe na akina mama ngoma, wameliathiri na kasauti kama mwanamke
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  halafu kwa jinsi lilivyokaa unaweza fikiri analiwa tigo
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Duh!! asee!!!!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Nimemuona huyo jamaa leo, watu wanachangia %Yrs development plan yeye yupo busy kusema wanaofanya fujo wakamatwe!
  Sikuelewa ni mbunge wa wapi wala anaitwa kitu gani, lakini nilijua dhahiri kuwa wananchi waliomchagua WAMELIWA MAZIMA!!
   
 11. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Siyo mkuu wa mkoa tena. Nimemsikia anaongea huwezi amini kama mtu wa aina hiyo amewahi kuwa kiongozi serikalini. Pengine ndiyo maana ameacha migogoro mikubwa ya ardhi huko Manyara.
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Shekifu si mkuu wa mkoa. Utaratibu uko hivi: Ukiwa serikalini ukateuliwa na chama chako na kupitishwa na tume ya uchaguzi kugombea ubunge unakoma kuwa mtumishi wa serikali na hata ukishindwa huwei kurudi kuwa mkuu wa mkoa. Mfano Abdulaziz aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa baada ya kushindwa na mgombea wa CUF hakurudi kuwa mkuu wa mkoa, yuko benchi labda ateuliwe tena. Pia yupo Monica mbega si mkuu wa mkoa tena baada ya kushindwa.

  Maongezi yake sina comment.
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280

  aiseeee....:bange:
   
 14. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa hoja ya kuacha ukuu wa mkoa iweke vizuri sijaelewa hapo, Cristina Ishengoma ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma tena ni mbunge viti maalum, hili suala si ndo linalopigiwa kelele mtu kuwa na kofia mbili wakati wengine wanatafuta kazi,
   
 15. K

  Kiti JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kama kuna mtu atuangalizie hao kina Mbega na Abdulaziz wanaendelea kulipwa mishahara ya wakuu wa mikoa maana nchi hii imeshakuwa shamba la bibi. Hivi JK hajateua wakuu wapya?
   
 16. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wakuu wapya bado , lakini utashangaa analiacha linaendelea na kofia mbili, si uliona llivyokuwa kwa Lukuvi , hapa lazima linapiga posho sehemu mbili
   
 17. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ya kuuliza tena hayo..!?
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  hee! usiniambie!!
  nilikuwa nabahatisha kwa muonekano,
  namjua sana,lakini kila akipita mbele yangu hilo wazo linanijia ghafla!
   
 19. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  naomba msaada wako ndugu mataka kujua eti mbunge naye ni mtumishi wa serikali? Kama walivyo madaktari, walimu, manesi, etc. Kuna vjana wa magamba wanantia kinyaa sana na hoja zao za ki,,se ng..e. Msaada plz
   
 20. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  jaribu kumwomba huenda akaachia ktufe mzee mzma ukala kdude cha jicho. Me ananiboa pale anapobinua binua midomo kama anaramba koni...!?
   
Loading...