Shekh Yahya hushiriki kuandaa hotuba za JK?

Shekh Yahya hushiriki kuandaa hotuba za JK?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,701
Reaction score
6,936
Hotuba nyingi za JK hasa zile za kutoa ahadi ni kama vile za kutabiri, kama ahadi aliyowaachia Wachagga ya kuendesha mafunzo ya shule kwa kutumia teleconferencing kufikia 2015 ni kama utabiri vile! Lazima Shekh Yahya atakuwa ana mchango wake kwenye hizi hotuba!!
 
sina uhakika kama shehe huyo anao hata uwezo kutoa ushauri kwa mtu mwenye akili timamu. hii si kweli. however, huyu mchawi, siku zake zimehesabiwa, Mungu atakuja kumhukumu kwa mateso anayowapa watz....anafanya watu wanamwabudu shetani badala ya kumwabudu Mungu, nilifurahi kusikia mchungaji mmoja hapa Dar kapata ujasiri wa kumkanya...gwajima. huyu shehe ni mtu mbaya sana kama hamjui, na tunatakiwa kumwomba Mungu amsaidie aijue kweli, kwasababu pamoja na uchawi wote Mungu bado anampenda anyway. ila, kama hatafanya hivyo, naungana na wanaosema kuwa, siku zake si nyingi, Mungu mwenyewe ataingilia kati kumwadhibi..
 
sina uhakika kama shehe huyo anao hata uwezo kutoa ushauri kwa mtu mwenye akili timamu. hii si kweli. however, huyu mchawi, siku zake zimehesabiwa, , kwasababu pamoja na uchawi wote Mungu bado anampenda anyway. ila, kama hatafanya hivyo, naungana na wanaosema kuwa, siku zake si nyingi, Mungu mwenyewe ataingilia kati kumwadhibi..


Dah nimecheka sana humo kwenye bold!

Ndugu yangu Mungu anatunyeshea sote mvua! Vumilia tu kuwepo kwake; ni kiumbe wa Mungu naye pia!
 
Back
Top Bottom