no comments
thanks mkuu kwa kujaribu kuelezea.lakini unaonaje muitikio wa watu kwa shekh yahya na huyu pastor huoni kama hawa watu wawili ni common kabisa?
Wadau mnaokumbuka yale maajabu ya shekh sharif yule mtoto miaka ya tisini mtaweza kutoa mlinganisho yakinifu na huyu pastor aliyejitokeza huko loliondo.
Isije ikawa huyu ni yule yule mtoto sasa amekua,karudi kuwa mkirsto na anaendeleza maajabu yake.
kuna posts wanasema ni 45 years.Hakuna kitu kama hicho hawalingani hata kidogo Pastor ni oldman kabisa he is 76 years old,Shekh Sharif ni Mtoto,Pastor result hazichukui muda na matokeo hatangazi yeye,sisi wagonjwa ukipona tu jirani yako unamtonya akapone.
Sheikh sharif ni sheikh na wa loliondo ni pastor,sheikh sharif yupo nikijana wa miaka 18,na pastor wa loliondo ana miaka zaid ya 45 ni tofauti kabisaaa.
loliondo ni mchungaji anayetegemea nguvu za mungu kama musa jangwani alivyoambiwa na mungu atengeneze nyoka wa shaba yeyote atakaeng'atwa na nyoka akiangalia atapona shehe yeye aliongoza kwa kunukuu quran
Tuwe wasafi tusipate kipindupindu
Kama wengine wanavyosema ........................ crap!
Nimeipenda.nilikuja duniani naked na nitarudi nilikotokea naked.....thats it
Wadau mnaokumbuka yale maajabu ya shekh sharif yule mtoto miaka ya tisini mtaweza kutoa mlinganisho yakinifu na huyu pastor aliyejitokeza huko loliondo.
Isije ikawa huyu ni yule yule mtoto sasa amekua,karudi kuwa mkirsto na anaendeleza maajabu yake.
Wadau mnaokumbuka yale maajabu ya shekh sharif yule mtoto miaka ya tisini mtaweza kutoa mlinganisho yakinifu na huyu pastor aliyejitokeza huko loliondo.
Isije ikawa huyu ni yule yule mtoto sasa amekua,karudi kuwa mkirsto na anaendeleza maajabu yake.
Nimeipenda.
Ukapitia njia njia zote ya kwa baba itokeayo haja ndogo. Na njia nyingine kwa mama itokeayo haja ndogo.
Bora kuwa mtiifu kwa ALLAH S.W.