kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,054
- 170
shekhe ni shekhe na pastor ni pastor.....vitu viwili tofauti.....nadhani umenielewa
wote wanahusiana na imani!my point haya mambo hutokea kama propaganda.shekhe ni shekhe na pastor ni pastor.....vitu viwili tofauti.....nadhani umenielewa
shekh shariff mbona hasiskiki tena?siamini kama yupo na kama yupo basi ana uhusiano mkubwa na huyu pastor wa loliondo.Sheikh sharif ni sheikh na wa loliondo ni pastor,sheikh sharif yupo nikijana wa miaka 18,na pastor wa loliondo ana miaka zaid ya 45 ni tofauti kabisaaa.
shekhe ni shekhe na pastor ni pastor.....vitu viwili tofauti.....nadhani umenielewa
mkuu hapo kwenye nyekundu una uthibitisho?wote wnatumia imani =mungu.Preta majibu yako mazuri kama hako kademu kenye avatar yako. Sheikh Sharifu alikuwa anatumia majini na huyu anatumia miti shamba. Sharrif ni Sheikh na yule ni pastor.
thanks mkuu kwa kujaribu kuelezea.lakini unaonaje muitikio wa watu kwa shekh shariff na huyu pastor huoni kama hawa watu wawili ni common kabisa?loliondo ni mchungaji anayetegemea nguvu za mungu kama musa jangwani alivyoambiwa na mungu atengeneze nyoka wa shaba yeyote atakaeng'atwa na nyoka akiangalia atapona shehe yeye aliongoza kwa kunukuu quran
Preta post zako zipo naked kama unavyoonekana.
thanks mkuu kwa kujaribu kuelezea.lakini unaonaje muitikio wa watu kwa shekh yahya na huyu pastor huoni kama hawa watu wawili ni common kabisa?
haya mambo huletwa sana na matapeli wa Nigeria!Hivi jamani mi kweli hata mi hawa watu wa miujiza nawashangaaga kuwa kama kweli wametokewa na maajabu mbona hawadumu nayo hayo maajabu ili Watanzania wakapata sifa ulimwenguni???
crap*crap=MTMkipindupindu = MS = crap
Hivi jamani mi kweli hata mi hawa watu wa miujiza nawashangaaga kuwa kama kweli wametokewa na maajabu mbona hawadumu nayo hayo maajabu ili Watanzania wakapata sifa ulimwenguni???
thanks mkuu kwa kujaribu kuelezea.lakini unaonaje muitikio wa watu kwa shekh yahya???? na huyu pastor huoni kama hawa watu wawili ni common kabisa?