Shekh Ponda: Zanzibar yatumia Shoga (Gay) kukuza Utalii

Fox amewagusa waitaliano maana ndio zao na wamejazana sana huko
Kwahiyo wavatikano wanawabaka hao vijukuu vya allah au vyenyewe vinakubali kutinduliwa?

Kimsingi, hiyo ni Roho kamili na ili iweze kungolewa, maombi yenye nguvu yanahitajika. Mungu awasaidie kwa kweli.
 
Shekh Ponda Isa Ponda,Ameitupia lawama Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),kwa kitendo cha kumtumia shoga (gay) R.Quest,kutoka Ulaya katika shughuli za Kukuza Utalii visiwani humo.Waziri Simai ameonekana katika picha ya pamoja na bwana Quest alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege.

Pia Shekh Ponda amekwenda mbali zaidi kwa kuuliza na kuhoji kama bwana Quest akishauri njia ya kuimarisha ushoga visiwani ili Kukuza Utali, serikali itapinga?

Kitendo hiki kimetafsiriwa kama kisicho cha maadili ndani ya Tanzania.

Source: Ukurasa wa Shekh Ponda Isa Ponda katika mtandao wa X zamani ukitambulika Kama Twitter.

Pwani, Tanga, Pembe and Zanzibar ushoga ni kitu cha kawaida kabisa. Hawa watu wa huko kwao Kuva nguof fupi ni dhamnbi ya mauti, kukaa kichwa wazi ni dhambi, ila kufukuliwa mtaro ni kitu cha kawaida.
 
Shekh Ponda Isa Ponda,Ameitupia lawama Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),kwa kitendo cha kumtumia shoga (gay) R.Quest,kutoka Ulaya katika shughuli za Kukuza Utalii visiwani humo.Waziri Simai ameonekana katika picha ya pamoja na bwana Quest alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege.

Pia Shekh Ponda amekwenda mbali zaidi kwa kuuliza na kuhoji kama bwana Quest akishauri njia ya kuimarisha ushoga visiwani ili Kukuza Utali, serikali itapinga?

Kitendo hiki kimetafsiriwa kama kisicho cha maadili ndani ya Tanzania.

Source: Ukurasa wa Shekh Ponda Isa Ponda katika mtandao wa X zamani ukitambulika Kama Twitter.

Mbona waziri naye anaonekana kama ni shoga tu? Ila jamani tuache utani, usenge unalipa Zanzibar, kina Aunty Mohammed (Muddy) wengi wameweka makazi yao kule sasa.
 
Tatizo la ushoga Zanzibar linaanzia hapa, watoto wa kike wanafungiwa ndani sana, kama kwamba hawapatikani kirahisi, nazani watu wanafahamu balehe zinavyo pelekesha vijana, Sasa wanawake hawapatikani na vijana wanashinda pamoja kwa Nini wasichakatane.

Nasikia na mabinti wa kike nao wanagawa jicho sana kuliko kitumbua wanaogopa kutoolewa au wanamtunzia mume. Zenji Kuna ukale mwingi sana
 
Zanzibar ugalatia tu ndio unapigwa vita lakini ushoga unaendekezwa sana, tena mujahidina ndio vinara wa kuendekeza huo uwendawazimu.
Zanzibar ni kanchi fulani kakingese sana. Kamejaa laana tupu.

Msingi wa mambo yote hayo ni CCM na SMZ.
CCM na SMZ inahusika vipi katika hilo mkuu ? Toa ufafanuzi kidogo.
 
Huku bara tulikuwa hatujui haya mambo ya kufirana nyie Watu wa visiwani ndio mmetuletea uchafu wenu huku!! Umewahi kumsikia mama Abdul akikemea mambo ya Ushoga? Kwanini hakemei?
Mkuu mimi ni Mtanganyika sio mtu wa visiwani.
 
Huku bara tulikuwa hatujui haya mambo ya kufirana nyie Watu wa visiwani ndio mmetuletea uchafu wenu huku!! Umewahi kumsikia mama Abdul akikemea mambo ya Ushoga? Kwanini hakemei?
Kuhusu Mama kwa kweli sijawahi msikia,licha nae Kuna mambo fulani huwa yana mgusa kuhusu vitu hivyo sasa sijui kama ni kweli au laa.
 
Msichokijua ni kuwa hao mashoga WA Zanzibar wametoka bara kwenda kueneza Kule ili kuharibu ule mji.!

Na Hilo suala la utalii ndio limeua kabisa hawa watalii wanaeneza tu uchoko Mimi bado sijaona kitu Cha ajabu hawa wazungu wanachokifuata Zanzibar.
 
Mkuu heshima kwako Kuna mambo umeandika yanahitaji takakari ya kina sana.kuna baadhi nisha wahi sikia humuhumu jamvini kwa baadhi ya viongozi wetu.

Kupitia matukio kadhaa ni ukweli ulio wazi kwamba uko jikoni,kumejaa uvundo mfano ni kupitia bwana mpaka super black,haoni aibu wala chembe ya huruma kuudanganya umma wazi wazi.

Pia kuhusu ceo wetu Kuna tetesi Kigogo2014,aliwahi sema kwamba aliyekuwa branch manager wa mkoa wa Dar kwa sasa muenezi ni watu wa karibu Sana (intimate) pia alimuhusisha na skendo za kukoboa.

Ukweli kwa aina hii ya viongozi ni ngumu sana kupata maadili jumla ya jamii yetu maana kumeoza.
Hapo code kwa CEO hebu ilegeze kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom