Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Shekh Mwaipopo anasema Askofu Gwajima ndio anaeandaliwa na CHADEMA kugombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu 2025 utakaofanyika Oktoba
Gwajima huyu anaunga mkono No reforms No Election, lakini habari tulizo nazo Gwajima anaandaliwa kushika bendera ya CHADEMA agombee urais ili apambane na rais Samia Suluhu Hassan. Amesema Shekh Mwaipopo