KevinJazdow
New Member
- Jan 11, 2018
- 4
- 10
1: Awe mtalaam chumbani.
Mtalaam wa mahaba Shekh.
2: Awe hodari jikoni ajue kupika chakula kizuri,
hii wanaweza. Kina mama wengi wanaweza.
Hii ya tatu ndio nzito
3: Awe na lugha tamu hata kama ana hasira,
hiyo ndio kazi Shekh.
Nini maoni yako?