Elections 2010 Shein ajitoa kinyanganyiro cha Urais Zanzibar

Status
Not open for further replies.
ukweli ni kwamba majority ya wazanzibar wanamtaka bilal hata maskani zote uko zenji uyu bilal has strong appeal ila inasemekana si wa kupelekeshwa ni dizaini ya salmin amour anapenda siasa za chuki na ubabe, kwa cuf huyu jamaa ni bad news wasiombee apite, watashughulikiwa kisawasawa!

Hao majority unaowasema wewe umetumia kigezo gani? Hata hao CCM wenyewe si wote unapataje "Majority Wazanzibari" ukiwa ya maana ya CUF na CCM? Hizo ni propaganda za Maskani moja tu ya Kisonge ambayo ndiyo inayomuunga mkono Bilal kufa na kupona, sasa maskani moja ndio CCM yote? Ndio "majority Wazanzibari"? Hata hao waliotangulia kushinda kwa kishindo hawakuwa wanapendwa na Wazanzibari "majority" na kishindo chao cha kwenye masanduku ya "ukachota, ukaiba ukachukua waaa"
 
Why Bilal ana strong influence huko Zenji???? Mtuambie au yeye ana sera zipi??Ammbazo wa zenji wanamtaka kwa udi na uvumba??? mwanye dataz atupe
 
Hao majority unaowasema wewe umetumia kigezo gani? Hata hao CCM wenyewe si wote unapataje "Majority Wazanzibari" ukiwa ya maana ya CUF na CCM? Hizo ni propaganda za Maskani moja tu ya Kisonge ambayo ndiyo inayomuunga mkono Bilal kufa na kupona, sasa maskani moja ndio CCM yote? Ndio "majority Wazanzibari"? Hata hao waliotangulia kushinda kwa kishindo hawakuwa wanapendwa na Wazanzibari "majority" na kishindo chao cha kwenye masanduku ya "ukachota, ukaiba ukachukua waaa"

Huenda neno majority limepata maana nyingine. I'm sure Bilal hawezi kuwa na backing kubwa kuliko Sharif Hamad (tukitumia kigezo cha mikusanyiko/mikutano na kura za chaguzi zilizopita). Watu wengi hukosea kwa kulitumia kwa kumaanisha wengi.
 
Ila mimi ningekuwa Dr. Shein ningestaafu na kupumzika kwani takribani miaka saba au nane kama makamu wa rais wa muungano wa Tanzania ilikuwa inatosha kabisa au angewania urais wa muungano. Sasa kuwa rais wa Z'bar ni kujishusha, mfano hataweza tena kuwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri. Na huko Z'bar anapelekwa kuwa 'rubber stamp' tu!
 
Huenda neno majority limepata maana nyingine. I'm sure Bilal hawezi kuwa na backing kubwa kuliko Sharif Hamad (tukitumia kigezo cha mikusanyiko/mikutano na kura za chaguzi zilizopita). Watu wengi hukosea kwa kulitumia kwa kumaanisha wengi.

Bilal hana strong support ila ana support ya waliokuwa madarakani wakati wa Salmin Amour. Na ni kwamba Salmin Amour alipoingia madarakani aliweka jamaa zake kutoka kusini madarakani wakawa wakiendeleza siasa zao za ubabe na ubadhirifu sasa hilo swala ndio linataka kuendelezwa kwa kigezo kuwa Bilal ndio mtetezi wa wazanzibar. Hili jambo ndio watu wa wazanzibar hasa wanauliza maana hali hiyo inaelekea akirudi Bilal hata kama atasema haendelezi wasaidizi wake wataendeleza ndio matokeo wazanzibar watarudi tena zama Komandoo!!! ubabe ubabe tu. Anyway so far Jethro sijapata news kuhusu linalojiri pengine muungwana FMES angelijuza au Halisi. FMES jamani vp???
 
Hivi Jethro yuko wapi? michango yake inahitajika sana katika mada kama hii.
 
Hivi Jethro yuko wapi? michango yake inahitajika sana katika mada kama hii.

Teh teh teh Mkuu thankx alot niko safarini kuelekea Dom ila napitia singida kwanza natumia phone internet kuwapata mchango wangu utakuwa mdogo ila J3 nkiwa Dom Ntawapa Full Details ntakazo zikuta huko.
 
Ila mimi ningekuwa Dr. Shein ningestaafu na kupumzika kwani takribani miaka saba au nane kama makamu wa rais wa muungano wa Tanzania ilikuwa inatosha kabisa au angewania urais wa muungano.

Bado anazo nguvu za kufanya kazi, akistaafu ina maana tutamlisha na kumpa huduma nyengine bure kwa miaka mingi ijayo!
 
Kibunango usijibanze bana ingia tupe za Dodoma mjumbe wa NEC, mgombea wako atapita au watafanyia zile zile za mwaka ulee!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom