Sheikh yahya uso kwa uso na watoto wa babu seya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh yahya uso kwa uso na watoto wa babu seya

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 13, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. m

  mbea Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani huyu Yahaya si alikuwa mgonjwa,kapata nafuu?
   
 3. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nafikiri utabiri wa gwajima unafanya kazi, ngoja tusubiri tuone..yetu macho..Mungu amsaidie tu aokoke kwasababu baada ya kifo ni hukumu hakuna kutubu tena.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  Mtu akiwa anaumwa yanawezakana yakatokea moja kati ya mambo mawili apone au Afariki sasa hakuna cha ajabu kufa mtu au kupona mkuu. atapona tu sheikh Yahya Hussein inshallah.
   
Loading...