Elections 2010 sheikh yahaya na shibuda

Akafie mbali, mwehu huyo.

Halafu kitu cha kushangaza Mzee huyu mwenye fikara FINYU haishi kukaribishwa IKULU, kusema ukweli sometimes nchi yetu inatia aibu katika level za Kimataifa, wewe unategemea nini kama Rais wenu anakuwa na washauri kama huyo mzee Sheikh Yahya?
 
huyu ni mjinga achana nae anatuingizia hasara tu taifa letu bora afe maana tumemchoka
 
Aliahidi hakutakuwa na uchaguzi na imetokea kweli,badala yake kuna UCHAKACHUAJI! au hamjagundua hilo?
 
Halafu kitu cha kushangaza Mzee huyu mwenye fikara FINYU haishi kukaribishwa IKULU, kusema ukweli sometimes nchi yetu inatia aibu katika level za Kimataifa, wewe unategemea nini kama Rais wenu anakuwa na washauri kama huyo mzee Sheikh Yahya?

Rais ajae anahitaji kufanya maombi kuondoa huo uchafu huko Ikulu.
 
Apewe kiti moto aliyenonaaaa......lazima atapona....aibu yao,aibu yetu.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom