PreGE2025 Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke: Utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mapenzi ya jinsia moja!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,692
Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia

"Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka huu, utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mbele yako mol wetu utamaduni wa mapenzi ya jinsia moja. Mwenyezi Mungu tukinge na utamaduni huo usiiingie katika nchi yetu na chama kitachoelekeza matendo hayo, Watanzania wape nguvu ya kukitaa na kudeal nachama hicho'

,​
 
View attachment 3377731
,​
Hilo Tamsha mashekh wamevamia tu
 
SHEKHE UNALALAMIKIA HILO JAMBO AMBALO NI HIARI YA MTU NAWAKATI KUNA JAMBO KUBWA LA UTEKAJI NA MAUAJI UNAYAFUNGIA MACHO
 
Hakuona barua ya Serikali yake ikimkana makonda juu ya vita aliyoanzisha na Mashoga,kwanini asiwaambie tu si ndio wanampa ubwabwa
 
Serikali ya CCM ilisaini kuheshimu haki za binadamu wakiwemo mashoga,hivyo angejielekeza vizuri kwa wahusika,pasipo kupepesa macho.
 
Ngoja Wenye chama Chao waje wamtukane Shekhe Sasa!
 
katika mambo ya moral authority (chumbani za falagha)- kila mwanaume ni upinde maana kuna wakati gizani unapitisha pasiko husika.. wanakawe waendelee tu kutunza siri za wanaume - lakini kwa kweli kwa yeyote yule aliye wahi kupitisha pasipo husika iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya ni upinde tu- Hiyo ndio tafsiri sahihi ya upinde.

Hawa viongozi wadini waache kuchokonoa ya gizani, kwa maani ipo siku wanawake watakuja na sheria ya kuwashitaki wanaume wao kwa kosa la kutowafikisha kileleni... Wanaume- acheni kuzungumzia mambo ya falaga za chimbani kwenye kadamnasi...ni sawa na kuleta mambo sebuleni na kikinuka, wanaume wote mtaugulia maumivu sana.
 
SHEKHE UNALALAMIKIA HILO JAMBO AMBALO NI HIARI YA MTU NAWAKATI KUNA JAMBO KUBWA LA UTEKAJI NA MAUAJI UNAYAFUNGIA MACHO
wanapuyanga tu,anweza kutaja chama cha siasa ambacho kimenadi sera yq ushoga iwapo kitapata ridhaa ya kuchaguliwa?
 
Dua ya Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke mbele ya Rais Samia

"Nchi yetu ina utamaduni wake ina culture yake, ina aina ya maisha yake. Tunakuomba vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi mwaka huu, utuepushe na chama chochote kitachotuingizia utamaduni usio wa Kitanzania. Tunalaani mbele yako mol wetu utamaduni wa mapenzi ya jinsia moja. Mwenyezi Mungu tukinge na utamaduni huo usiiingie katika nchi yetu na chama kitachoelekeza matendo hayo, Watanzania wape nguvu ya kukitaa na kudeal nachama hicho'

View attachment 3377731
,​
Anamaanisha kama huyu ccm mwenzao?!
images (2).jpeg
 
Kashakula mgao huyu

Aman bila haki inawezekanaje?
 
Shekhe aambiwe ukweli ule umoja wa sisiemu na wale wenzao wanao support hayo majambo asifichwe
 
Masheikh wa Bakwata wanawadhalilisha sana Waislam! Sijui ni kwa nini Shura ya Maimamu wasiwe ndiyo wawakilishi halali wa Waislam wote nchini.
 
Back
Top Bottom