Habari za kweli ni kwamba Sheikh Sharrif bado ni Muislamu. Sheikh sharrif bado anaendelea kutoa mada mbalimbali za kufundisha dini ya Kiislamu na tabia njema kwa binadamu wote. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Msikiti wa Mtoro, kuhusu mihadhara yake ambayo inapendwa na watu wote duniani.
Ukweli zaidi kuhusu Shariff Iddi unaweza kusoma hapa: http://www.wikiislam.com/wiki/Shariff_Idd
Haki,
wacha ubabaishaji sheikh kaokoka full stop.
Kama yuko sheikh mwingine anayedai yeye ni sheikh sharif huyu utakuwa umemtengeneza mwenyewe.Ninachojua Sharif sasa yuko katika maombi ya toba tena akiwaombea wale masheikh wanaofuga majini.
Vita vyetu si juu ya nyama na damu bali ...................
hivi kama mtu kweli una imani na dini yako uliokuwa nayo sasa hivi,ni kitu gani kinakusumbua kuhusu dini zingine mpaka kuweza kuingilia katika mijadala mizito?
Kuna kampeni iliyoanzishwa na kikundi cha dini ili kuanza uhasama na dini zengine. Halafu hii JF imeundwa kwa ajili hiyo. Kwa sababu, wao kama wana habari kwanini waziachie habari za kinafiki bila ya kuzitoa? Huu ni mpango maalum uliondaliwa. Tungojee matokeo yake.
Haki na Kabonde tunaomba namba za simu za Sheikh Sharrif tuwasiliane naye mwenyewe! Kila mmoja (Haki & Kabonde) atoe simu ya Sheikh Sharrif anayemfahamu. Alternatevely, Haki nenda kwenye mhadhara Msikiti wa Kwamtoro upige picha ya huyo unayedai Sheikh Sharrif, Kabonde nenda kwenye Kanisa husika upige picha ya unayedai Sheikh Sharrif akiwaombea watu. Kisha leteni hizo picha na kuzibandika humu kama itawezekana ili kuondoa utata wa identity ya Sheikh Sharrif! Nimeshindwa kuchangia mada hii vizuri kwa kuwa kuna wanaodai huyo Sheikh kaokoka na wengine wanadai bado ni mwislamu! Pls clear this confusion!
ACHENI KUJIDANGANYA na kudanganya watu! Shekh sharifu bado ni muislam, huyo mliyenaye mmemchonga wenyewe!Jamani naomba muelewe kuwatupia mamod mizigo sio vizuri, kila mtu anao uhuru wa kuchangia mada hata kama kaandika pointles haijalishi mbona wengine tunasoma tu! Kwani lazima uchangie?
Yule wanaesema kuwa bado ni mwislam ni sheikh mwingine nimeongea naye kisayansi,
Ila yule mtoto sheik ndo ameokoka, ila nasikitika sana kuona wamemwaribia future huyo kijana, nikweli watoto wa hivyo wapo wenye uwezo mkubwa wakushika vitu even my young brother huo uwezo akiuweka shuleni anakuwa faida kwa taifa na sio khasara.
Jamani naomba muelewe kuwatupia mamod mizigo sio vizuri, kila mtu anao uhuru wa kuchangia mada hata kama kaandika pointles haijalishi mbona wengine tunasoma tu! Kwani lazima uchangie?
Yule wanaesema kuwa bado ni mwislam ni sheikh mwingine nimeongea naye kisayansi,
Ila yule mtoto sheik ndo ameokoka, ila nasikitika sana kuona wamemwaribia future huyo kijana, nikweli watoto wa hivyo wapo wenye uwezo mkubwa wakushika vitu even my young brother huo uwezo akiuweka shuleni anakuwa faida kwa taifa na sio khasara.
Sasa kama "hawafanyi kazi zao vizuri' hao mods kwanini wasilaumiwe?
ACHENI KUJIDANGANYA na kudanganya watu! Shekh sharifu bado ni muislam, huyo mliyenaye mmemchonga wenyewe!
Endeleni kumuabudu, kama mnavyo muabudu Issa mwana wa Maryam ambae ni BINADAMU
mwenzenu