Sheikh Sharif na majini

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Wapendwa hivi mheshimiwa sheikh Sharif majini katika kipindi chake cha ndoto na majini anainasibu dini fulani na majini as if dini hiyo ni ya majini, msingi wake ni majini!

Je hii imekaaje? Anachohubiri kuhusu majini na ndoto ni kweli au ni njia ya kutafuta "Mlo". Elimu hiyo kaipata wapi?
 
Wapendwa hivi Mheshimiwa Sheikh Sharif Majini katika kipindi chake cha NDOTO NA MAJINI anainasibu dini fulani na MAJINI AS IF DINI HIYO NI YA MAJINI, MSINGI WAKE NI MAJINI! Je hii imekaaje. Anachohubiri kuhusu majini na ndoto ni kweli au ni njia ya kutafuta "mlo". Elimu hiyo kaipata wapi?
Kwani majini ni nini? Unaweza kunitofautishia majini na mashetani na ibilisi?

Majibu yenye mashiko ndo nayahitaji
 
Anatafuta "Futari" hana lolote..
Siku hizi ukitaka kupiga hela kwa mwavuli wa Dini mahubiri yako yabebe maudhui yafuatayo;
~Majini na mashetani, kwasababu watu wamechoka kiuchumi wako tayari kutumia hayo madudu kujikwamua.
~Kutafsiri ndoto, kwakuwa kizazi hiki ni cha kusubiri miujiza huvutika sana na maongezi hayo wakiamiani ipo Siku Mungu atamuotesha kuwa billionaire.
Hawa masheikh na wachungaji ni wajanja sana. Wanajua mahitaji ya umma ili wawavute wapige mpunga.
 
PSYCHOLOGICAL HEALING!
 
Niwahi kuona mabango hapa DSM ya waganga wa kienyeji (matapeli) yameandikwa ' kujinga na freemasons' nilijisikia uchungu sana kwani kwa vyovyote inaonekana kuna wanaowania kuingia huko wawe matajiri!!!
 
Anatafuta "Futari" hana lolote..
Siku hizi ukitaka kupiga hela kwa mwavuli wa Dini mahubiri yako yabebe maudhui yafuatayo;
~Majini na mashetani, kwasababu watu wamechoka kiuchumi wako tayari kutumia hayo madudu kujikwamua.
~Kutafsiri ndoto, kwakuwa kizazi hiki ni cha kusubiri miujiza huvutika sana na maongezi hayo wakiamiani ipo Siku Mungu atamuotesha kuwa billionaire.
Hawa masheikh na wachungaji ni wajanja sana. Wanajua mahitaji ya umma ili wawavute wapige mpunga.
Market segmentation wanaijua haswaa...
 
Mkuu, Uislam na Majini ni sawa na Ukristu na Malaika. Kwenye Uislam majini yana nafasi kubwa ingawa ni majitu ya kutisha,. Ndio maana utaona hadi kwenye Quran yana Sura yake takatifu inaitwa "Suraat al jinn"
 
suraat al jinn kwenye quran enhee na kitabu cha kwanza cha malaika! kwenye biblia?..........
 
Wanayokemeaga wachungaji ni mikitu gani? Kwani haya makitu ni maalumu kwa watu gani?
wachungaji wanakemea mapepo yatoke na kuangamia.pepo kazi yake ni kumvamia binadamu na kuharibu mambo yk mapepo si rafiki wa binadamu wala Mungu...ndo maana Yesu alikuwa akiyakemea na yalitii na kupotea kuzimu..
mapepo,majini na maluani ni malaika wa kuzimu ni wafanyakazi na vibaraka wa sheitwan...
 
Mkuu, Uislam na Majini ni sawa na Ukristu na Malaika. Kwenye Uislam majini yana nafasi kubwa ingawa ni majitu ya kutisha,. Ndio maana utaona hadi kwenye Quran yana Sura yake takatifu inaitwa "Suraat al jinn"
Mkuu kama ilivyo ukirsto na mapepo (majini) yana nafasi kubwa sana kwani ndo ya kwanza kumtii bwana yesu kwa jina lake 10-17 Luka
 
Huyo ni mjanja kama wajanja wengine tu hapa mjini, hana tofauti na wale wanaofufua misukule, wale walioenda kwa mungu na wakarudi na wale watabiri wa clinton atashinda urais. Umaskini unatufanya binadamu tuwe wafinyu wa imani na kuamini kuwa binadamu wenzetu wana uwezo mkubwa wa kututatulia matatizo yetu kuliko muumba mwenyewe. Kufa kufaana, acha wajanja wenye akili watumie matatizo yetu na ujinga wetu kama mtaji wa wao kujichumia mali na kupata "futari" yao ya kila siku.
 
Anatafuta "Futari" hana lolote..
Siku hizi ukitaka kupiga hela kwa mwavuli wa Dini mahubiri yako yabebe maudhui yafuatayo;
~Majini na mashetani, kwasababu watu wamechoka kiuchumi wako tayari kutumia hayo madudu kujikwamua.
~Kutafsiri ndoto, kwakuwa kizazi hiki ni cha kusubiri miujiza huvutika sana na maongezi hayo wakiamiani ipo Siku Mungu atamuotesha kuwa billionaire.
Hawa masheikh na wachungaji ni wajanja sana. Wanajua mahitaji ya umma ili wawavute wapige mpunga.
Ongezea moja mkuu,natibu kisunna kurudisha nguvu za kiume na kuwa shabaaby
 
Back
Top Bottom