ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Atakua kaenda kujipanga porini
His days as free citizen are numberedAtakua kaenda kujipanga porini
One of the poorest comment of the year 2017. Unazungumzia international law kwa mtu anayepora haki za raia wa Gambia. Inawezekana uko kwenye kundi la watu wanaoishi kishabiki. Nadhani wewe utakuwa ni mmoja ya wanaounga mkono vitendo vya akina Nkurunziza, Kagame, Museveni nk ambao muda wao wa kukaa madarakani umeisha. Wanabadili Katiba ili waendeleee kukalia kiti cha ufalme. Mko wengi wengi mtazamo huu wa kipuuziKwa nini chungu kwangu? Nilichokuwa nakipinga ndicho kilichotokea, nchi ya Gambia haijavamiwa! Hamjanielewa, nilikuwa siyo mshabiki wa Jammeh bali nilikuwa napinga Majeshi ya kigeni kuivamia nchi ya Gambia, na hilo halijatokea, kama Jammeh yuko Gambia au hayupo hili halinisumbui, ila nilitaka Waafrika tujifunze kuheshimu International law na kwamba uchaguzi ni mambo ya ndani ya nchi, tuheshimu hilo!