Sheikh, Prof, Dr, AlHaj. Jammeh aondoka Gambia

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Kwa taarifa zilizothibitishwa ni kwamba aliyekuwa rais wa Gambia ameondoka kwenda kuishi nchini Guinea.

Chanzo kinaeleza kuwa rais huyo mstafu mwenye wasifu mwingi kushinda rais mwingine yeyote duniani ataendeleaa kukaa huko mpaka hapo badaye ambapo ataruhusiwa kurejea.

Chini hapa ni maelezo kutoka katika chanzo.

Yahya Jammeh and his entourage are at the Banjul international airport, awaiting to leave the Gambia for good. The dictator, who used to brag that he is going to rule the Gambia for one billion years, is today leaving the Gambia without his free will. He is fleeing from justice. He is fleeing from accountability. Mr. Jammeh be from now on become a refugee in Guinea Conakry.

Jammeh’s henchmen appeared sad and distressed. The airport is a ghost airport today. Jammeh and his enablers are crying.

This was the day, we have been working for Gambia. Yahya Jammeh is history. He was booed while leaving town. His supporters have all went into hiding. The end of Jammeh has becomes a sad story. All his so called loyalists have abandoned him.

Security agencies, including the NIA are on the ground at the airport to see off Jammeh. They are all crying. Some couldn’t believe that this day would ever arrived. Their boss Yahya Jammeh, is leaving them behind. Now they have to face the Gambian people, and explain the atrocities they perpetrated in the name of consolidating Jammeh into power.

The Gambia is going to be an interesting country in coming days, weeks, and months. There are many untold stories. Jammeh’s mess and carnage would be exposed for all to see.

Meanwhile, President Adama Barrow, told Al Jazeera TV, that he told the people who were involved in the negotiations for Jammeh to step down to ask Jammeh to leave the Gambia in the interest of peace. He said it would be hard for his government to accomplish its mission if Jammeh’s continues to live in The Gambia, as a private citizen. Mr. Barrow said Mr, Jammeh is free to return to the Gambia, later, but for now, he should just pack and leave.
 
Hii ni habari chungu kwa akina Barbarosa!!

Kwa nini chungu kwangu? Nilichokuwa nakipinga ndicho kilichotokea, nchi ya Gambia haijavamiwa! Hamjanielewa, nilikuwa siyo mshabiki wa Jammeh bali nilikuwa napinga Majeshi ya kigeni kuivamia nchi ya Gambia, na hilo halijatokea, kama Jammeh yuko Gambia au hayupo hili halinisumbui, ila nilitaka Waafrika tujifunze kuheshimu International law na kwamba uchaguzi ni mambo ya ndani ya nchi, tuheshimu hilo!
 
His Excellency sheikh Alhaj professor Dr Yahya jemus junkung Jammeh Babili mansa ..

hili Babili mansa aliliondoa 2014 maana yake mshindi wa madaraja au chief wa madaraja ..sababu ya kuitwa hivyo sabb kajenga madaraja mengi na daraja moja kutoka Gambia mpaka Senegal alilojenga limeondoa adha ya usafiri wa masafa marefu

Jamaa alivyompindua rais aliyepita baada ya miaka kadhaa alimrudisha Gambia na kumpatia hifadhi

Natumai Barrow na yy atamrudisha huyu jamaa miaka kadhaa mbele akaishi kijijini kwake
 
Kwa nini chungu kwangu? Nilichokuwa nakipinga ndicho kilichotokea, nchi ya Gambia haijavamiwa! Hamjanielewa, nilikuwa siyo mshabiki wa Jammeh bali nilikuwa napinga Majeshi ya kigeni kuivamia nchi ya Gambia, na hilo halijatokea, kama Jammeh yuko Gambia au hayupo hili halinisumbui, ila nilitaka Waafrika tujifunze kuheshimu International law na kwamba uchaguzi ni mambo ya ndani ya nchi, tuheshimu hilo!
Kwani kwako wewe kuvamia ni kupigana ama mtu kuingia ndani ya himaya yako bila ridhaa yako, maana majeshi yalishaivamia Gambia tyr.
 
Kwa taarifa zilizothibitishwaa ni kwamba aliyekuwa rais wa Gambia ameondoka kwenda kuishi nchini Guinea.

Ataendeleaa kukaa huko mpaka mpaka kibali cha yeye kulejea kitakapotolewa kinali cha yeye kurejea hapo baadaye

Yahya Jammeh and his entourage are at the Banjul international airport, awaiting to leave the Gambia for good. The dictator, who used to brag that he is going to rule the Gambia for one billion years, is today leaving the Gambia without his free will. He is fleeing from justice. He is fleeing from accountability. Mr. Jammeh be from now on become a refugee in Guinea Conakry.

Jammeh’s henchmen appeared sad and distressed. The airport is a ghost airport today. Jammeh and his enablers are crying.

This was the day, we have been working for Gambia. Yahya Jammeh is history. He was booed while leaving town. His supporters have all went into hiding. The end of Jammeh has becomes a sad story. All his so called loyalists have abandoned him.

Security agencies, including the NIA are on the ground at the airport to see off Jammeh. They are all crying. Some couldn’t believe that this day would ever arrived. Their boss Yahya Jammeh, is leaving them behind. Now they have to face the Gambian people, and explain the atrocities they perpetrated in the name of consolidating Jammeh into power.

The Gambia is going to be an interesting country in coming days, weeks, and months. There are many untold stories. Jammeh’s mess and carnage would be exposed for all to see.

Meanwhile, President Adama Barrow, told Al Jazeera TV, that he told the people who were involved in the negotiations for Jammeh to step down to ask Jammeh to leave the Gambia in the interest of peace. He said it would be hard for his government to accomplish its mission if Jammeh’s continues to live in The Gambia, as a private citizen. Mr. Barrow said Mr, Jammeh is free to return to the Gambia, later, but for now, he should just pack and leave.
Jammeh ni lazima ASHITAKIWE na arudishwe Gambia kuja kujibu mashtaka ya MAUAJI, WATU KUPOTEA na Maonevu mengi ya kushikashika watu na kuwafunga bila sababu.

Tasisi ya UWT ya Gambia NIA -National intelligence Agency ndo iliyotumika VIBAYA sana katika kandamizi za UHURU wa kuongea , Vyombo vya habari na mikusanyiko.

Kila aliyejaribu kutoa maoni alionekana ni mpinzani wa Jammeh. Kwa miaka 22 Makao makuu ya NIA Banjul yaliwapeleka watu na kuwatupa katika chumba cha MATESO kilichojulikana kwa jina la BAMBADINKA- Chumba cha MAMBA.

Yeyote aliyeenda huko HAKURUDI. Huyu jamaa ni LAZIMA ashitakiwe ikiwa ni pamoja na wakurugenzi WOTE wa NIA walio hai waliomsaidia kufanya maovu hayo. Ndo maana alikawia kuondoka akiomba DILI ASISHITAKIWE.. Hata hivyo laxima ALIPE kutokana na maovu aliyoyatenda
Rais mpya pia itabidi AKIVUNJE kikosi kizima cha NIA na kukisuka upya maana kina uozo mbaya sana!
Kila jambo na kila ukandamizi UNA MWISHO.
It is so sad!
 
Kwani kwako wewe kuvamia ni kupigana ama mtu kuingia ndani ya himaya yako bila ridhaa yako, maana majeshi yalishaivamia Gambia tyr.

Siyo kweli Majeshi ya Waafrika hayakuvamia Gambia, Uvamizi ulisitishwa ili kupisha mazungumzo ambapo Raisi wa Guinea alienda Gambia!
 
Kwaheri Gambia. Tutaonana Mungu akipenda.

C2uTbwrW8AAWkDR.jpg
 
_93734518_7f21386a-4f2a-43a4-94c6-3131533a8a5b.jpg

Mr Jammeh, who ruled for 22 years, is believed to be initially travelling to Guinea
Gambia's former President Yahya Jammeh has left the country in the wake of elections that ousted him after 22 years in power.

Mr Jammeh was defeated in December's election by Adama Barrow but he went on to challenge the results.

But two days after Mr Barrow was sworn in, Mr Jammeh left on a plane reportedly bound for Guinea.

Mr Barrow told the BBC that he would be returning to his homeland "sooner than later".

In an interview with the BBC on Saturday, he said said he wanted to create a truth and reconciliation committee to investigate allegations of human rights abuses during Mr Jammeh's time in office.

Media captionPresident Adama Barrow: 'We have got to know the truth'
Mr Barrow has been in neighbouring Senegal for days and was inaugurated as president in the Gambian embassy there on Thursday.

Troops from several West African nations, including neighbouring Senegal, had been deployed in The Gambia, threatening to drive Mr Jammeh out of office if he did not agree to go.

Mr Jammeh's decision to quit came after talks with the presidents of Guinea and Mauritania.

Guinea's President Alpha Conde is with Mr Jammeh and his wife on the plane that left Banjul late on Saturday.

In an address on state television, Mr Jammeh, who had once said he would rule The Gambia for a billion years, said he would stand down and that it was "not necessary that a single drop of blood be shed".

The scene at Banjul airport, by BBC Africa correspondent Alastair Leithead
Yahya Jammeh arrived at the airport amid a large convoy of vehicles and throngs of cheering supporters.

He stood on a small platform to hear ceremonial music performed by a military band and then walked down a long red carpet surrounded by dignitaries.

He climbed the steps to the plane, turned and kissed and waved a Koran at those assembled.

After 22 years in power, he left bound for Guinea where it's believed he will stay before going on to another country.

Soldiers and other dignitaries were emotional as he left - many of them crying.

The details of the arrangements made - or promises offered to persuade him to give up power peacefully are not yet known, but there was the real threat of military action from regional states.

He's the first president to peacefully hand over power in The Gambia since independence from Britain in 1965.
 
Back
Top Bottom