Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanasiasa wengi hawapendi viongozi wa dini kushiriki katika masuala ya siasa kwa sababu wanaamini hatua hiyo inaweza kuathiri maslahi yao binafsi.
“Wanasiasa wanaamini kwamba wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upinzani mkubwa kutoka kwa viongozi wa dini,” alisema Sheikh Ponda.
“Wanasiasa wanaamini kwamba wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upinzani mkubwa kutoka kwa viongozi wa dini,” alisema Sheikh Ponda.