Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ametoa neno kuhusu mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unaoendelea Dar es Salaam:
Ulazima na Umuhimu uliokuwepo kwa Mwananchi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura ni kupata na kutumia haki yake ya Kikatiba ya kushiriki kuweka Viongozi anaotaka wapewe jukumu la kuongoza Serikali na Taasisi zake.
Soma, Pia