Sheikh Ponda augua rumande

Sheikh Ponda augua rumande

Wewe unafaida gani kwa watanzania? ukisema watanzania una maanisha nini, wake zake sio watanzania, watoto wake , ndugu zake sio watz? acha chuki binafsi ndugu kama ana hatia mahakama ndio yenye mamlaka ya kumhukumu.
 
Tunamuombea afie jera,malipo ni hapa hapa duniani.uislam ni dini ya kishetani ikiwa ni pamoja na wahumini wake
 
Fanya yote kuchoma nyumba ya ibada ni kitu kingine,sio kanisa,misikiti na matemples.waumini wakiomba tu laana inakufika na ndo hayo tunayashuhudia kwa ponda.
 
Namtakia afya njema ili aje aendelee kutufundisha uisilam mpya ambao unafundisha chuki dhidi ya wakristo wakati miaka yote tuliishi pamoja tukishirikiana kwa umaoja wa kila namna ila yeye ametuletea dini mpya kwa sasa
 
we mwehu kwel et sangoma!! Iv wasoma habari kiundan au waangalia vichwa vya habari? Ulza ka hujui kafiri wewe!
 
Back
Top Bottom