Si nimesikia kuna SANGOMA kakamatwa mahakamani, ndio alikuwa anakwenda kumfanyia dawa nini?
Kama kweli wanaaabudu Mungu, na wambombee, habari za sangoma za nini.
Vipi Fareed hajaanza kuumwa, au Zanzibar hakuna mbu wa kutosha?
WATU WANAOPINGANA NA MAANDIKO YA VITABU WANAVYOVIFUATA. ETI NAYE HUYU MKIRISTO. KUMBUKENI MUNGU HATANIWI
"Usijifanyie sanamu ya kuchonga, mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, au kilicho chini
duniani. Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi
BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao". (Kumbukumbu la Torati 5:8-9).
"Ibada ya (ubatizo) kutosa mwili majini ni mfano wa utakaso au wakujitengeneza upya. Ibada kama hiyo ilijulikana na kutendeka katika dini za kale za
Kipagani na dini ya Kiyahudi pia (kama ubatizo wa waongofu Mdo 2:10; Waesseni)'. (Tazama Biblia
ya Wakatoliki, Imprimatur M.
Mihayo Archbishop of Tabora, February, 1967, kwenye maelezo ya Mathayo 3:6 uk. 879).
"Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi, au kwamba tu Wayunani; ikiwa tu watumwa au ikiwa tu huru, nasi sote tulinyweshwa Roho mmoja". (1Wakoritho 12:13).