My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Tukio la Kilwa la watu wasiojulikana kuvamia msikiti na kuteka watu 10 hadi sasa hakuna ajuaye wahusika ni nani hadi serikali yenye dhamana itakapotoa tamko.
Anaibuka Ponda na kuishutumu serikali eti ipo kimya kwa sababu waislamu wametekwa. Hapa Ponda anaichonganisha serikali na waislamu, kwamba jamii ya kiislamu Tanzania ione kuwa serikali inaonea waislamu wakati si kweli.
Basi Ponda aisaidie serikali pengine anawajua watekaji, na kama hawajui anaishutumu serikali kwa lipi? Mbona mauaji ya Mwanza msikitini ambayo wauaji ilisemekana ni waislamu Ponda hakuongea kitu?
Ponda hana tofauti na hayati Sheikh Logo wa Kenya, kwa kuchonganisha wananchi serikali.
Ponda anadai waliotekwa ni waislamu, kwake yeye uhalifu akifanyiwa muislamu basi serikali haifuatilii.
Udini unakujaje hapa? Ponda siyo wa kuchekea, raia wote ni sawa mbele ya sheria na katiba hakuna cha mkristo, muislamu au mpagani ama Budha.
Nashangaa wapo bize na Lissu badala ya kushughulika na mtu anayehamasisha chuki ndani ya taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app