Sheikh Ponda amua moja ueleweke!

Kipara...
Toka zimeanza kesi za ugaidi hakuna hata kesi moja sheikh yeyote
amekutwa ha hatia ya ugaidi huu sasa mwaka wa 15.

Kesi mashuhuri ya masheikh wa Uamsho huu mwaka wa 4 ushahidi
bado haujapatikana kuwatia hatiani kwa ugaidi.

Ama kuhusu suala la udini ikiwa Sheikh Ponda atashtakiwa kwa hilo
sijui itakuwa katika kipengele gani cha sheria.

Lakini hebu tujaaiie kuwa atashitakiwa kwa kosa la, ''udini,'' basi hiyo
itakuwa kesi ya karne na mengi ambayo hayajasemwa hadharani hapo
yatasikika mahakamani Sheikh Ponda atakaposimama kujitetea.
 
Kwa maelezo ya Mzee M. Said tuseme kujitosa kwa Sheikh Ponda ina maanisha sasa tunaingia kwenye matatizo makubwa ya kisiasa? Kiasi kwamba waTz wenye uelewa tujiandae kuingia kwenye utawala wa ki-imla?
Je siasa hizi zina manufaa na hasara gani kwa sababu naona kuna nchi kama Rwanda ina mfumo huo na inaonekana kusonga mbele.
Sheik ametuamsha siyo kuupinga utawala bali tukemee aina hii ya siasa je kwa mzee kama M. Said ana maoni gani?
Mimi naona tusipo kemea hasa tabia ya kuwadhuru wakosoaji itazalisha watawala wa kudumu madarakani kwa sababu watakuwa wamejijengea maadui wengi na wataogopa kuachia madaraka.
 
Jamani huyo mpendwa analo tatizo litokanalo na jina lake alilolirithi. Tumuombee tu kwa kuachilia damu ya Yesu Kristo iweze kumfunğua ufahamu wake. Hiyo ndiyo njia sahihi ya kumjulisha ili kuepukana na noah nyeusiiii na Nissan patrol nyeupe. Basi
 
Mleta mada nipunguani kweli kweli yaliompata lisu nayeye aliwahikupatwa viongozi wengine wakidini huenda wanafaidika nahali hivyo yeye kamaraia na kiongozi wataasisi yadini hayupo tayari kuona uhai wamtu unakatishwa ndio maana serekali huwatumia viongozi wadini kuhubiri amani lakini amani inaweza kuvurgwa hata naserekali pia lakini watu wengi huokopa kuiambia serekali ndio wanajitokeza viongozi kama shekh ponda nakusema ukweli sasa wewe ulivyo kilaza uelewi hivyo nadhani umefundishwa kusema ndiooooo
 
Prof. Safari kwa kuwa ni mwanachama wa CHADEMA, kwa hiyo haruhusiwi kufanya kazi yake ya uwakili? Tuna watu ambao wanadhani kujifanya wajinga ni sifa.
Sio wanajifanya, ni wajinga kwelikweli tena IQ ya kifaranga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…