Sheikh Ponda ameeingia ktk 18 za CCM

Sheikh Ponda ameeingia ktk 18 za CCM

Hata chadema wakisimamisha mgombea itakuwa Bure tu ndio mana NRNE
Hata Padri Kitima akigonbea kwa chama kingine mtakuja kutoa povu hapa kanunuliwa. Ila yeyote anayeunga mkono CDM huyo kwenu ndo mpinzani
 
Uschokifahamu ni kwamba ACT na CHAUMA wameahidiwa wabunge wa mezani
 
Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke.
Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm.
Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania.
Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
Lakini huyu ni Mrundi ujue
 
Na nikobazi kwisha
 
Ukiona mtanzania anapiga sana kelele ujue njaa imemzidia.
Ponda akilamba ubunge kwisha habari yake.
 
Chochote kinachotokea kwa ACT ni project y Zitto Muangalie Madeleka
 
nyie jamaa bana ovyo kweli, chochote kisichotokana na Chadema munalalamika
 
Back
Top Bottom