Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,148
- 7,995
Kajishtukia ama Kuna kitu kashtukia linaweza kumkuta jambo ...kaona ajiwahi mapema ...too late. .Kuna consequences kwa kauli Ile .Hata ajiteteeje! Alimaanisha hivyo.
Kajishtukia ama Kuna kitu kashtukia linaweza kumkuta jambo ...kaona ajiwahi mapema ...too late. .Kuna consequences kwa kauli Ile .Hata ajiteteeje! Alimaanisha hivyo.
Hawa masheikh huwa wanawapata wapi au mtu tu mwenye ujasiri wa kuongea na kufuga mandevu kama kichaa huko msikitini anapewa usheikhMakamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda, amesea kauli yake kuhusu wanaovunja amai nchini aliyoitoa Julai 5, 2025 haikumaanisha kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu auawe.
Akizungumza katika uzinduzi wa kanisa la Arise and Shine uliofanyika Julai 5, 2025 na kuhudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan jijini Dar es Salaam, Sheikh Mawinda ambaye pia ni kada wa CCM, alisisitiza umuhimu wa amani, akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
Soma zaidi: Sheikh Mawinda
Lakini akizungumza na The Chanzo leo, Sheikh Mawinda amesema hakumaanisha kuwa Lissu auawe.
Sikiliza:
View attachment 3398020
Na huyo shekhe Mawindo pia inafaa aburuzwe mahakamani ili kauli yake ya "kukata kichwa" ikapimwe huko, au mkuki kwa nguruwe?...akirejea kauli aliyowahi kuitoa Lissu ya kukinukisha na kusema kuwa amefikishwa mahakamani ili kuipima. "Acha mtu akate kichwa chako lakini nchi hii ibaki salama," alisema.
......too late