Sheikh kule Iran ahuzunika kwa namna wananchi wa Iran wanauacha uislamu na misikiti 50,000 imefungwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Raia wa Iran wanajitoa muhanga maana kuuaga uislamu unapaswa uchinjwe kabisa, hili hapa andiko lao 'Whoever changed his Islamic religion, then kill him.'" Sahih al-Bukhari 6922

Taratibu wananchi wa Iran wanakombolewa kutoka kwenye uzombi wa kidini, ifahamike wale ni Waajemi, na kihistoria Waajemi walifahamika kama watu wenye akili sana, walicheleweshwa pale muarabu alipeleka dini yake pale, sasa hivi ilipaswa Iran iwe mojawapo wa mataifa yenye nguvu duniani.

Hata Waarabu wenyewe wameshaanza kujikomboa, haya mavitu yatabaki huku Afrika ambako huwa tunachinjana kijinga kuhusu dini za watu.
==========================

Asenior Iranian cleric says around 50,000 of Iran's 75,000 mosques are closed, showing the declining numbers of Iranians attending.

Expressing regret over the low numbers engaged in worship, Mohammad Abolghassem Doulabi, who serves as the liaison between Ebrahim Raisi’s administration and the country’s seminaries, said on Thursday that the numbers are a "worrying admission” for a state built around the principles of Islam.

Doulabi, who is also a member of the Assembly of Experts – a deliberative body empowered to appoint the Supreme Leader – said the outcome of religion in Iran has led to people leaving religion.

Emphasizing the weakening of religiosity among society and in turn, a weakening legitimacy of a government ruling by religious diktat, he said: “When people look at the output of the religion, they decide to enter the religion or leave the religion," with reasons including “the humiliation of people in the name of religion," “falsification of religious concepts and teachings,” and “depriving people of a decent life and creating poverty in the name of religion.”

He made the remarks as growing numbers of Iranians of all ages are becoming weary of the regime's justification of Islam as the base of its brutal dictatorship, reflected by months of violent protest since September in the wake of the death in morality policy custody of Mahsa Amini, arrested for the inappropriate use of her hijab.
 
Wanasema dini ni mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu ila siyo kweli bali ni mpango wa mwanadamu kuwatawala wengine Kwa kisingizio cha dini.

Binafsi ninashauri watu waachane na dini wajikite kwenye wokovu Kwa kumlingana Bwana maana Mungu hana dini.
 
Halafu zanzibar kuna mpuuzi amechukua fomu ya kugombea ubunge/uwakilishi anasema akichaguliwa ataimarisha mafunzo ya madrasa na misikiti. Huyu angetamka hivyo bara hatapigiwa kura na werevu, bara upuuzi huo haupigiwi chapuo sana, ukigundulika unashadidia ushenzi huo utapuuzwa na kuwekwa kwenye kapu la wajinga
 
Wanasema dini ni mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu ila siyo kweli bali ni mpango wa mwanadamu kuwatawala wengine Kwa kisingizio cha dini.

Binafsi ninashauri watu waachane na dini wajikite kwenye wokovu Kwa kumlingana Bwana maana Mungu hana dini.
Wokovu ndio uchizi mwingine wewe unashauri watu wawe vichaa
 
Taratibu wananchi wa Iran wanakombolewa kutoka kwenye uzombi wa kidini, ifahamike wale ni Waajemi, na kihistoria Waajemi walifahamika kama watu wenye akili sana, walicheleweshwa pale muarabu alipeleka dini yake pale, sasa hivi ilipaswa Iran iwe mojawapo wa mataifa yenye nguvu duniani.

Hata Waarabu wenyewe wameshaanza kujikomboa, haya mavitu yatabaki huku Afrika ambako huwa tunachinjana kijinga kuhusu dini za watu.
==========================

Asenior Iranian cleric says around 50,000 of Iran's 75,000 mosques are closed, showing the declining numbers of Iranians attending.

Expressing regret over the low numbers engaged in worship, Mohammad Abolghassem Doulabi, who serves as the liaison between Ebrahim Raisi’s administration and the country’s seminaries, said on Thursday that the numbers are a "worrying admission” for a state built around the principles of Islam.

Doulabi, who is also a member of the Assembly of Experts – a deliberative body empowered to appoint the Supreme Leader – said the outcome of religion in Iran has led to people leaving religion.

Emphasizing the weakening of religiosity among society and in turn, a weakening legitimacy of a government ruling by religious diktat, he said: “When people look at the output of the religion, they decide to enter the religion or leave the religion," with reasons including “the humiliation of people in the name of religion," “falsification of religious concepts and teachings,” and “depriving people of a decent life and creating poverty in the name of religion.”

He made the remarks as growing numbers of Iranians of all ages are becoming weary of the regime's justification of Islam as the base of its brutal dictatorship, reflected by months of violent protest since September in the wake of the death in morality policy custody of Mahsa Amini, arrested for the inappropriate use of her hijab.
Wasije tu wakawa wanahama dini moja kuhamia nyingine manake hapo itakua hamna walichofanya.
 
Ndiyo dunia ilivyo ,hata wazungu wengi nao wameuchoka ukristo ,sasa kila mmoja anataka kuonja mradi wa wenzake

Kimsingi kila mtu anapaswa awe huru kuchagua atakacho, sio huu ujinga wa kulazimishana, uzuri kwenye Ukristo unafanya maamuzi yako mwenye, huna wa kukuchinja kisa umeukataa.
 
Kila jamii ina tatatibu zake ,usilazimishe taratibu zenu ziwe taratibu na kanuni za jamii nyingine
 
Kila jamii ina taratibu zake ,wewe mtumwa kutwa kukimbilia sehemu za watu ..So media zina porojo sana 😂😂😂....Dini inakua kwa kasi ,jamaa kama kweli hautaki dini basi siku moja sema kuhusu ukristo.

Mkristo dini yake kama haielewi ,anaanza kujifanya kama hana dini then kupondea uislamu badala ya kufuata maisha yake.
 
Wanasema dini ni mpango wa wanadamu kumtafuta Mungu ila siyo kweli bali ni mpango wa mwanadamu kuwatawala wengine Kwa kisingizio cha dini.

Binafsi ninashauri watu waachane na dini wajikite kwenye wokovu Kwa kumlingana Bwana maana Mungu hana dini.
wokovu ndio mpango mzima, dini zipo tangu kale na ni upumbavu fulani hivi
 
  • Thanks
Reactions: K11
Utatandawazi utaipoteza hiyo Dini:
Watu wa kisa hawataki kulazimishwa wale nini na wavae nini:
 
Kila jamii ina taratibu zake ,wewe mtumwa kutwa kukimbilia sehemu za watu ..So media zina porojo sana 😂😂😂....Dini inakua kwa kasi ,jamaa kama kweli hautaki dini basi siku moja sema kuhusu ukristo.

Mkristo dini yake kama haielewi ,anaanza kujifanya kama hana dini then kupondea uislamu badala ya kufuata maisha yake.

Hiyo dini ya muarabu kukua kwake wala sio jambo jipya maana Yesu alitabiri siku za mwisho watu watajiunga na mavitu yote ya kuwapeleka jehanum, leo hii freemason, illuminati, uislamu ndio vinakua kwa upesi maana huko binadamu wanaahidiwa maushetani kama yote, kwenye uislamu mnaahidiwa ngono na mabikira peponi huko.

Japo wenye akili wachache na ndio wanauhama huo uzombi.
 
Kwa hiyo ni dini ya mwarabu tu ,na hiyo nyingine ya kikristo mbona husemi?😂😂kwani we si mchaga ...Ulipewa ajira kwenye Taasisi ya wazungu ,sasa sioni kama waarabu wanakuhusu ..Kule kwenu si mnachapa walevi mbona watu wa mikoani hawaingilii.
 
Back
Top Bottom