Sheikh Khalifa Khamisi anatumika na system fulani

ustadhijuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2015
Posts
3,133
Reaction score
2,117
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
 
uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani
mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!

Unatumika na system Fulani.
 
Akamatwe mara moja na apelekwe Guantanamo bay haraka kabla hajaleta madhara zaidi
 
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!

Huyu jama ndiyo mishe zake siku zote,ameshawaingiza mkenge watu wengi, yeye akiiishiwa tu anaanzisha tifu akidakishwa anaingia mitini bali kwa awamu hii amekwama.
 
Kwa hiyo wewe ustadhi ulikuwa na maoni gani juu ya huyo Khamis?

Apuuzwe kwa kuwa si msemaji wa waislamu hata kama hoja zake zina mashiko?

Au anachosema ni uongo?
 
Kinachosemwa na shekh kinaukweli kiasi fulani ishu hapo ni kukifanyia kazi hicho anachokisema badala ya kumuona anatumiwa
 
Narudia tena kuwaambia ndugu zangu tujikite kujadili hoja zenye tija na kutusaidia kutukwamua sisi watanzania wote tusipoteze muda wa kujadili mambo mepesi mepesi ya watu individual kama haya
 
Habari zenu wana jf!!

Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?

Uislamu Ni amani!! tuilinde amani yetu..
Tanzania Ni nchi ya amani

Mnaoufahamu msikiti wa mtoro nadhani mtakuwa mnamfahamu huyu khalifa Khamisi!! na mnajua wazi kabisa kuwa huyu anatumika kuingiza watu matatizoni na istoshe yeye hakamatwi Bali wafata mkumbo ndo wanaishia pabaya!!
Kasema kweli tupu
 
at least wewe DOUGLAS SALLU unamfahamu khalifa Khamisi!! ilifika kipindi waislamu walitaka kumpiga msikiti wa mtoro akaenda kujificha chooni then baada ya mda mchache Polisi wakaingia fasta sana tena wakiwa kamili kwa mapambano na wakamuokoa
 
Hivi siku za karibuni ameibuka mtu mmoja ( Khalifa Khamisi). Mtu huyu anamtuhumu rais magufuri kwa udini hakuishia hapo tu akaenda mbali zaidi akatoa na evidence ambayo ukifatilia kwa umakini utagundua huyu mtu hayuko peke ake Bali Ni kundi la watu ila huyu amewekwa kama msemaji.
Awe mwenyewe au asiwe mwenyewe ni wakuchukuliwa hatua tu!, Sijui serikari inasubilia nini, huyo bwana na lile gazeti wameshamwaga sumu za kutosha, serikari isipokuwa makini udini wao unaweza kutuletea maafa kama yale ya swala la haki ya kuchinja.

je Ni kweli waislamu wanamtumia khalifa Khamisi kufikisha Ujumbe kwa rahisi? khalifa Khamisi Ni muumini wa dhehebu la shia au Irani wanamtumia huyu mtu kama agent wao? ikiwa Ni kweli waislamu wameona wanaonewa kwa nini mzungumzaji ambaye anaweka data Ni mmoja tu yaani Khamisi khalifa?
Mbona umefanya haraka kuituhumu Iran, mh! unatia shaka usije ukawa weye ndo uipendi Iran na dhehebu lake la shia, maana hata huko Sunni wapo watu wenye mawazo kama hayo ya Sheikh Khalifa Khamisi, cha msingi serikari iwachukulie hatua wote na tunaamini serikari na yenyewe inawafahamu.

Ndani ya Tanzania kwa sasa the Islamic foundation ndo taasisi kubwa na yenye watu wengi lkn kwa nini wao hawalisemi hili?
Hao The Islamic Foundation labda wawe wameacha, zaidi ya hapo nawenyewe wana akili kama Sheikh Khalifa, jamii haijasahau jinsi kituo chao cha redio (Radio Iman) kilivyo chochea udini kipindi kile kabla hakijafungiwa na TCRA.
 
at least wewe DOUGLAS SALLU unamfahamu khalifa Khamisi!! ilifika kipindi waislamu walitaka kumpiga msikiti wa mtoro akaenda kujificha chooni then baada ya mda mchache Polisi wakaingia fasta sana tena wakiwa kamili kwa mapambano na wakamuokoa
Na siku ile polisi wangechelewa kidogo sasa hivi angekuwa RIP. Wasiomjua ndiyo wanamshabikia, ni mpiga dili kwa mgongo wa Uislamu.
 
Kwani alichokisema ni kweli ama siyo kweli?
Lete data mbadala ndugu Ustaadh Juma
 
Hakuna kitu nachukia duniani kama mtu kuleta stori za udini na ukabila
 
Back
Top Bottom