masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,605
- 14,537
Amechoshwa na haya mapambio mnayoimba ambayo hayaendani na vitendo.Inafurahisha kuona mshikamano wa viongozi wetu wa juu CCM.
Hongera Mwenyekiti Jk.
Bado CCM ni kinara kwa oganaizesheni na uhamasishaji kwa kufanya mambo kwa mipango madhubuti, bila kuleta mitafaruku kama waleee ndugu zetu wa pipooz!!
Lakini katika picha hii hapa chini najiuliza Sheikh Karume yu wapi?
Kama Mama Yake anapinga muungano waziwazi, huenda hakualikwa na watamnyang'anya umakamu soon