GE2025 Sheikh Hassan Kabeke: Yeyote atakayetaka kuvuruga amani na utulivu wa nchi hii teremsha Malaika wako wamchukue wampoteze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Ila Sheikh amejua kushusha na kupangilia dua na kuzingatia maslahi, amesahau tu kusema watekaji na mafisadi nao wachukuliwe na Shetani waende motoni 😂 😂 😂

-------------
Sehemu ya dua kutoka kwa Sheikh Hassan Kabeke wakati wa mkutano wa Kampeni za Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao ulifanyika katika Viwanja vya Nyamagana mkoani Mwanza Oktoba 8, 2025

Siuseme tu watekaji wamchukue wampoteze acha kuzunguka mbuyu!
 
Wanajua sana kudharirisha dini yao.

Na mbaya zaidi hakuna wanaowapinga katika wenzao hiyo inaonesha wako sahihi.
 
Back
Top Bottom