Nasema hii inchi inakwenda,toka nizaliwe miaka 40 iliyopita na kujitambua sikuwahi kuona nchi hii inakwenda mrama kiasi hiki!.Ndani ya TZ sasa kuna magaidi!.Lakini kwa nini watz wanageuka kuwafanyia ugaidi wenzao?.Kilicho wazi ni kuwa ktk ardhi hii wananchi wanatumika tu kisiasa ila kuna kundi la watu serikalini na ccm ambao hii nchi wanafaidi.Nchi imekosa uongozi imara na hii ni hatari,risasi,mabomu na vitisho haitasaidia.Viongozi wanafanya vitu vinavyozidi kugawa taifa mfano bunge la katiba litaiacha taifa dembe dembe,utaona!.
Mfumo kristo@work
mfumo kristu(kafir) haukwepeki. Gari imegunduliwa na mkristo, komputer ni mkristo, bulb ni mkristo, kipaza sauti cha msikiti ni mkristo, simu yako ni mkristo, ndege ni mkristo. Utamkwepaje?
We acha tu, Mwarabu kamfundisha mwafrika kuvaa mabomu kiunoni, zamani haikuwepo hii
Hawa mbwa walioko katika serikali ya Tanganyika wanafikiri bado wazanzibar wamelala fofofo kama walivyolala watanganyika! Sasa wanatafuta namna ya kuwanyamazisha na kuwatisha Wazanzibar walioko mstari Wa mbele kuwaamsha wazanzibar
Wajue wanajidanganya nafsi zao na zamama zao.
Kosa kubwa ambalo huyu Sheikh na wenzake ni kuwaamsha wazanzibar waukatae muungano na slogan yao "TUACHIWE TUPUMUE" Sasa hizi kesi zao za kitoto zina mwisho wake na wajue wazanzibar wameshang'amua hila zao.
Waache wamwagie watu tindikali, wauwe mapdri wao "Mushi" waripuwe mabomu " hili ZNZ sio msamiati mpya" lakini sisi haturudi nyuma kudai ZNZ huru.
Walifundishwa na yule aliejilipua msalabani kwaajili ya dhambi zenu.
Magaidi huwa wanajifanya kutetea umma ili kupata public support ili kutimiza azma yao ya Ugaidi, magaidi wengi utasikia "tunapigania waislam wenzetu wanaoteseka sehemu fulani". Kumbe lao kubwa ni kumwaga damu. Kama kweli wanataka Zanzibar huru kwanini waue mapadre kwa kuwapiga Risasi? Mbona wamwagie tindikali na kurushia mabomu mashekhe wanaopinga Ugaidi?, mbona wasiandamane hadi bungeni au kwa Rais wa Zanzibar kama kweli lengo ni Zanzibar huru? mbona kwenye mihadhara wanakashfu ukristu?
Ikiwa kitabu changu na dini yangu ninayoiamini inanitaka niseme Yesu sio Mungu bali yeye ni mtume Wa mungu na nikasema hivyo jee hapo pana kashfa au ulitaka niende kinyume na maandiko ya dini yangu?
Kama unaamini Yesu si Mungu amini hivyo kwa faida yako. Mbona wakristu tunajua kuwa Mohammed alikuwa na wake zaidi ya wa 4, alioa mke wa mwanae wa kulea, alioa watoto wa shangazi zake, alioa mtoto wa miaka 6, alioa mateka wa kivita lakini uwezi kuta tunamjadiri kanisani, au Mnadhani nyie ndio mmekamilika?. Wewe unatakiwa kuamini katika imani yako na sio kusimama hadharani kushfu. Mambo ya Muhammed tunayajua lakini huwa tunanyamaza tu
Kama unaamini Yesu si Mungu amini hivyo kwa faida yako. Mbona wakristu tunajua kuwa Mohammed alikuwa na wake zaidi ya wa 4, alioa mke wa mwanae wa kulea, alioa watoto wa shangazi zake, alioa mtoto wa miaka 6, alioa mateka wa kivita, aliamuru mwanamke anaenyonyesha auwawe lakini uwezi kuta tunamjadiri kanisani, au Mnadhani nyie ndio mmekamilika?. Wewe unatakiwa kuamini katika imani yako na sio kusimama hadharani kushfu. Mambo ya Muhammed tunayajua lakini huwa tunanyamaza tu
Utamjadili vipi kanisani wakati kipalapala Dodoma umeshafanya kazi ya kuifanyia marekebisho bible na kuondoa jina la Ahmad "Muhammad" zaidi ya miaka 30 iliyopita!!!???
Lakini sisi ni wajibu wetu kumjadili na kumtaja Yesu "Issa bin Mariam" kwa kuwa katika kitabu chetu katajwa .
Unashanga Mtume Muhammad kuoa wake zaidi ya Wa nne na wala hushangai nuhu aliekuwa na wake 1000 na Masuria 900? Au Yakub alieowa MTU na Dada yake na baadae akaongeza na vijakazi vya hawa MTU na Dada yake!!!!
Au kunya anye kuku tu akinya bata kaharisha!!!???
Wewe ni mbaguzi.kwani wewe kama unaijua asili yako,twambie unatokea katika misitu ya congo au zaire. Usije na jawabu kuwa unatokea Tangayika! Eneo lijulikanalo kama Tanganyika lilikuwa ni pori la wanyama mwitu watupu kama mlikuja kuwindaa afu wazee wenu wengine wakarejea na wengine wakaingia mitini.