Shida yetu tulio wengi ni kuwa tunapenda kuonekana global people lakini in the real sense we have always remained local. Alama hiyo mkuu wala siyo ya CDM, ni alama ya VICTORY kwa maana ya USHINDI, imekuwa ikitumika sehemu nyingi ambazo watu wamekuwa wakiuona uongozi uliopo kuwa ni kandamizi. Kwenye medani ya Tahril (CAIRO) wale waandamanaji walitumia "V", Tunisia, Libya nao pia waloitwa "waasi" walitumia alama ya "V"ictory. Angalia Syria utaona kuwa wale wapigania uhuru wanategemea ushindi na kuonesha "V".CDM nao ni wapigania ukombozi wa nchi hii toka mikononi mwa wakoloni wazalendo so "V" haijaasisiwa na CDM. Na hata kama watu wengine watatafsiri vinginevyo bado haitaondoa ukweli, itakuwa ni erroneous certainity tu!!!