Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Alama ya V si ya chadema bali ya ushindi. Hii alama ilikuwepo hata kabla ya kuwepo kwa chadema. Hii aihitaji shahada kujua.
Nakubaliana na wewe kabisa na sina ubishi na hilo ila ni wewe unajua hivyo je wenzangu wa huku mamndenyi tunajua hilo?
Mnajua sema mnajifanya kutojua. Mbona mnajua kuwa ni alama ya Chadema kama hamjui? Sasa naamini mmejua na julishaneni ili wote mjue mnachopaswa kujua.
I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!
Na je kama huyo Farid alikuwa anamueleza huyo askari kuwa walikuwa wawili kwenye hilo sakata? Kwani kufanya hivyo vidole ni ishara ya Chadema tu? Na mbili kwa vidole unaionyeshaje sasa? Only narrow-minded people can have such kind of a notion!Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo! Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!
I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!
Na je kama huyo Farid alikuwa anamueleza huyo askari kuwa walikuwa wawili kwenye hilo sakata? Kwani kufanya hivyo vidole ni ishara ya Chadema tu? Na mbili kwa vidole unaionyeshaje sasa? Only narrow-minded people can have such kind of a notion!
Kwani mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa Polisi ni lazima aulizwe swali na Mpelelezi tu? By the way, unajuaje kama huyo askari siyo mpelelezi? Ina maana maaskari wote wapelelezi na wapelelezi wasio maaskari wote unawajua?Mbona povu linakutoka! Hata hivyo huyo askari huyo sio mpelelezi wala maudhui hayalingani na utetezi wako
The V sign is a hand gesture in which the index and middle fingers are raised and parted, while the other fingers are clenched. It has various meanings, depending on the cultural context and how it is presented. It is most commonly used to represent the letter "V" as in "victory"; as a symbol of peace (usually with palm outward); as an offensive gesture (palm inward); and to represent the number 2. It was adopted by the 1960s counterculture movement as a sign for peace.
You are very general brother. Inaonyesha ulivyo! Sio kosa lako! Ukiona mtoa mapovu ujue kuna pahala limemgusa! Sorry chap!Kwani mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa Polisi ni lazima aulizwe swali na Mpelelezi tu? By the way, unajuaje kama huyo askari siyo mpelelezi? Ina maana maaskari wote wapelelezi na wapelelezi wasio maaskari wote unawajua?
Kwani mtuhumiwa anapokuwa mikononi mwa Polisi ni lazima aulizwe swali na Mpelelezi tu? By the way, unajuaje kama huyo askari siyo mpelelezi? Ina maana maaskari wote wapelelezi na wapelelezi wasio maaskari wote unawajua?Mbona povu linakutoka! Hata hivyo huyo askari huyo sio mpelelezi wala maudhui hayalingani na utetezi wako
Yaani unashindwa kuelewa hata maana ya alama v?
Nimekuwa nikiangalia taarifa mbalimbali za habari na kuangalia pia picha za huyu jamaa. Nimestushwa zidi kuwa huyu jamaa aliwahi kuwa mwanjeshi! Hilo sio baya sana ila kwa hili la kutumia alama ya CDM linanipa wasiwasi kidogo!
Soon mtasikia chama hiki kinahusishwa na huyu jamaa! Inawezekana kabisa ukawa mpango mkakati wa jumuiya hii ya JUMIKI hasa Sheikh Farid kupandikizwa kama mbegu ya CHUKI dhidi ya Watanzania kuamini kuwa CDM ni chama chenye vurugu!
I might be wrong but we have to connect the dots! Kwa nini anatumia alama hii maarufu kwa chadema hasa wakati huu akiwa anamulikwa sana na vyombo vya habari. Kwenye siasa wanasema kuna mchezo mchafu! Is this one of the dirty game? am just thinking!
Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani? Umesema sheikh farid...ahmed, unamanisha nini?
Alama ya V si ya chadema bali ya ushindi. Hii alama ilikuwepo hata kabla ya kuwepo kwa chadema. Hii aihitaji shahada kujua.