Shehena ya 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shehena ya 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Waridi, Jan 1, 2010.

 1. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wakuu,
  Hebu na tujuvyane sawia huu mwaka mpya umesheheni mambo gani.
  Nalianzisha, tafadhali orodha iendelee
  • Mwaka ambao hakuna hata kiongozi mmoja wa baraza la mawaziri la kwanza-Tanganyika huru aliyeko hai
  • Mwaka wa uchaguzi mkuu Tanzania
  • Mwaka wa kuanzishwa kwa sarafu moja ya Afrika mashariki
  • Mwaka wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika
  • Mwaka wa michuano ya kombe la dunia, kwa mara ya kwanza inafanyika barani Afrika
  • Mwaka wa kimataifa wa biodiversity
  • Mwaka wa...
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  mwaka ambao wanajf karibu wa4 wanaoa!
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Sio kweli , JOB LUSINDE MALECELA alikuwemo kwenye cabinet ya Tanganyika huru na bado yupo anadunda pale IDODOMYA!!
   
 4. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Habari njema hii, naomba ujumbe kwenye kamati japo moja, ha ha ha ha!
   
 5. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Masahihisho yamepokelewa. Waweza kuwa na taarifa za umri wake kwa sasa na mtazamo wake kuhusu kile kinachojiri nchini. Yamkini taifa laweza kutega sikio kwake ili kuchota busara na ushauri baada ya wenzake wote kutangulia mbele ya haki.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pamoja na Sir George Kahama!
   
 7. Waridi

  Waridi JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,027
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Naona info toka blog ya michuzi imenilisha kasa. Uko sahihi
   
Loading...