singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Ndio waandishi wetu hawaMeno ya tembo ya Milioni 50 ni shehena ????
Mkuu nilitaka kuogopa nikajiuliza ile meli ya kinana itakua ilibeba nini kama meno matatu au manne tu ndio ShehenaNdio waandishi wetu hawa
Hili neno shehena pengine lina tafsiri tofauti kwa mwandishiMkuu nilitaka kuogopa nikajiuliza ile meli ya kinana itakua ilibeba nini kama meno matatu au manne tu ndio Shehena
Pengine inawezekana mkuu ,kiswahili kipana sana japo kwa tafsiri isiyo rasmi shehena haiwezi kuwa vitu viwili au vitatu hiviHili neno shehena pengine lina tafsiri tofauti kwa mwandishi
Hili neno shehena pengine lina tafsiri tofauti kwa mwandishi
Ni vipande kadhaa hata kichwani unabebaMsimlaumu sana, huenda alijua meno ya 50m ni mengi vibaya mno.
Kwani mkuu wanaolinda hizo hifadhi hakuna wanajeshi ??? Mbona wao magari yao ndio yanasemekana yanabeba hizo ishu sana ,kuna kipindi flani gari lao lilikamatwa Lindi au Mtwara kama sikoseinapendekeza hifadhi zote za mbuga za wanyama zilindwe na JWTZ hamtakaa msikie hiyo habari tena.Lkn kwa sbb TZtunaendekeza siasa sana ndo unaona ujangili unaendelea tu pamoja na JPM kuingia madarakani wao hawajali! weka JW na atakayekamatwa na mzigo ni risasi ya kichwa palepale utaniambia!wala haihitaji kutumia bajeti kubwa kugharamia teknolojia ya drone na ujinga mwingine km huo
Ni vipande kadhaa hata kichwani unabeba
Hivi nauliza jamani huu utaratibu wa kusema bei ya kitu haramu umekaaje? mimi naona kama inaweza ikashawishi watu wasiojua bei kujiingiza kwenye biashara hizo haramu. mfano meno ya tembo yamekamatwa yenye thamani ya milioni 50, dawa za kulevya nk.
Huu utaratibu wa kusema bei wakati wakati huo soko la vitu hivyo halijulikani lilipo je, anayetaja hizo bei anajua soko lilipo? na kama anajua kwa nini tunahangaika na wawindaji badala ya kuharibu soko halafu wawindaji wataacha naturally kwa kukosa soko?