Shehe Hassan Illunga Kapungu amepinduliwa katika Utawala wake!!!!!!

Shehe Hassan Illunga Kapungu amepinduliwa katika Utawala wake!!!!!!

Huu ni ushenzi wa liserikali letu. Mbona viongozi wa kikristo wakiwa india serikali haigharamii. Serikali ya ccm ni ya kiislam kwani hata mufti anatembelea gari la serikali. Watawezaje kumkamata ilunga?

Mkuu, hapo kwenye gari la serikali, tafadhari sana bana, kuna ukweli hapo?
Tunaweza pata ushahidi?
 
Ukitoka hapo nchi hii haina udini,haina. Udini,na hizi comment za watu hapa zinaonesha nini?acheni kudanganya watu..wakristo hawaupendi uislam na waislam na waislam hawaupendi ukristo na wakristo.kila mmoja anamtakia mabaya mwenzake! Acheni mapenzi ya mdomoni hayo wakati nyoyo zenu mnachukiana!
 
CD ipo na inauzwa misikitini fanya utafiti usiwe mjinga!!

wewe usishupae kama kafiri akiingia motoni!
ilunga tumemtibisha kwa ghalama zetu waislam serikali haiwez kumtibisha na waislam na kiongoz wetu tusinge kubali kuona wanamuuwa shekh kwa kisingizio cha kumtibu. wewe na uchanga wa akili yako unaweza kutibiwa na adui wako?!
 
Back
Top Bottom