Angalia kuanzia kama dakika 20:30 mpaka 21:00 ya wakati Raisi Magufuli alivyokuwa anapasuka jinsi atakavyotumbua majipu hali iliyopelekea Shekhe mzuka kumpanda na kunyanyuka ktk kwenye kiti chake, kweli Magufuli wetu siyo mchezo!
Acha kutazama kila kitu kwa misingi ya udini. Sisi sote tumezaliwa Aftika ,tumekulia Afrika na tutafia Afrika..watakao tuzika ni waafrika wenzetu. tena wa dini zote.Mkatoliki ampandisha mzuka sheikh!
By the way hawa wazee kila wanapoalikwa huwa wanashangilia tu. Alipokuwa anawaita JK, walishangilia hotuba zake. Juzi wakati JPM anaponda utawala wa JK (na marais wa awamu ya pili na tatu) kuwa wameshindwa kumalizia jengo la ghorofa nne kwa kila rais aliyepita, wazee hao walishangilia pia