She was lucky, she didn't bleed, I bled: Uganda's 'monster maid' speaks out

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,465
33,399
Ugandanmaid.jpg

Jolly Tumuhiirwe, a Ugandan nanny who has been dubbed the 'monster maid', has spoken out about the events around the tragic beating of the child she was supposed to take care of, 18-month-old Arnella.

Tumuhiirwe held up a pink t-shirt spotted with blood and according to
Ugandan Online.net, she was not aware there was a video camera in the house.

She was apparently shocked when Eric Kamanzi, the father of the toddler, started beating her, which lead to her opening a police case.Ugandan Online.net adds that Tumuhiirwe sustained serious injuries including welts on the back from being caned and was quoted as saying: 'Arnella was lucky, she did not bleed, but I bled.'

ugandan+nanny.JPG

Jolly Tumuhiirwe holds up a t-shirt indicating the wounds she suffered from a beating. Image: Ugandan Online.net

Meanwhile Ugandan human rights lawyer Ladislaus Rwakafuzi has offered to represent Tumuhirwe in court according to Zambia's The Post newspaper.

"I would gladly try to help her because the world has turned against her. She needs legal counsel; the constitution presumes her innocent till [proven] guilty despite all that we have seen," Rwakafuzi said.

Rwakafuzi expressed doubts about the video's authenticity, saying, "I wonder how a person weighing 80kg can step on a baby and there is no physical harm on the back."

His offer comes after civil society organisations distanced themselves from the Tumuhirwe, saying they couldn't offer aid given the nature of her offense.

Federation of Uganda Women Lawyers (FIDA) chairperson Eunice Musiime said, "We condemn in the strongest terms any torture of children. Instead, we are considering supporting the parents to pursue justice. We want to clear the air. There was speculation that FIDA was involved and yet we are not."

Rwakafuzi previously defended the July 2010 Kampala bomb suspects.Child nearly beaten to death is out of danger and safe now-

Source:She was lucky, she didn't bleed, I bled: Uganda's 'monster maid' speaks out - Times LIVE
 
Last edited by a moderator:
Jamani, hizi media niza kuchunguza vizuri, yaani ati " tumuhiirwe" ana Uzito wa kilo 80!!??, au huyu lawyer anataka ujiko!!??
 
mkuu ata ilo la kusema et she was lucky,she didnt bleed but ibled,ni la kuchunguza,kuhusu kujitete huyu dada anayo haki ya kusikilizwa pia tusihukumu kwa ushahidi wa upande mmoja..
 
sikuamini macho yangu nilipoiona hii kitu kwa mara ya kwanza, kama H/girl aweza fanya haya. Ila binadamu ni kiumbe wa ajabu
 
mkuu ata ilo la kusema et she was lucky,she didnt bleed but ibled,ni la kuchunguza,kuhusu kujitete huyu dada anayo haki ya kusikilizwa pia tusihukumu kwa ushahidi wa upande mmoja..
Ni kweli anahaki ya kusikilizwa na ndiyo maana anasubiri kupelekwa mahakamani, lakini baadhi ya utetezi unachekesha, mfano; kuwa Jolly mwenye umri was miaka 22 ana kilo 80!?, na kwamba mtoto haku-suffer physical injury!?. Sasa kama hakuwa na physical injury kwanini alilazwa hospital!!??, mbona picha ya mtoto akiwa hospital inaonesha akiwa na catheter puani ya kutoa uchafu kifuani ama tumboni!?, hizi siyo physical injury!!??, utetezi wa Joly ni kuwa " mtoto hakuvuja damu Bali yeye" , huoni kua anakiri kumtesa motto Bali anadhani ni kwa kiwango kidogo kuliko alivyopigwa yeye?!!, basi kiletwe kipimo cha kulinganisha maumivu tuone Nani kaumia zaidi.
 
Un freaking believable!, they need to check her state of mind, how can you even raise your hand on a child?!, afadhali FIDA distanced themselves from her, everybody need to distance themselves from this Monster, na asipotubu akawe kuni jehanum.....mxeuiiiiiiiii!
 
Gosh!, Arnella is soo adorable!, in this video, how can someone even 'think' of physically punishing this Angel?!
 
mkuu ata ilo la kusema et she was lucky,she didnt bleed but ibled,ni la kuchunguza,kuhusu kujitete huyu dada anayo haki ya kusikilizwa pia tusihukumu kwa ushahidi wa upande mmoja..
Kuna rafiki yangu Mganda uwa ana ni update kuhusu hii issue..
Huyo lawyer ni wale wanaopenda cheap popularity...yani yeye ni wale watafuta case zilizopewa highest media coverage afu aende opposite na society ili nae a make headlines...

Anasema kilomfanya amfanyie ukatili mtoto ni kuomba ela ya kumtumia babake aliyekuwa mgonjwa...
Waajiri wake walimnyima kwa kuwa hakuwa hata na mwezi toka aanze kazi...labda hawakuwa na trust naye kuwa kweli anauguliwa...hata hivyo hiyo kweli ni justification ya kumdunda mtoto????

Nilikuwa nasoma comments blog moja ya wapopo wanashangaa kwa nini mpaka sasa binti yuko hai...wengi wanasema kama wazazi wangemuua...

Na kwa kujiongelesha ongelesha kwake kunamfanya watu waamini wala hana regret...
Mtoto huyu angekufa kama si wazazi machale kuwacheza...yani amefanya kazi chini ya mwezi tayari anataka kuua mtoto wa watu

The only excuse labda waseme ni kichaa ...lakini kama ana akili timamu jela ndio panapomstahili...
 
Huyu binti anaroho ya uuaji na ameshakuwa declared kuwa hana matatizo ya akili, ni bora huyu wakiri angemfundisha kufake majuto na huzuni kama pistorius wa SA, lasivyo maisha yake yote atayamalizia behind bars
 
Un freaking believable!, they need to check her state of mind, how can you even raise your hand on a child?!, afadhali FIDA distanced themselves from her, everybody need to distance themselves from this Monster, na asipotubu akawe kuni jehanum.....mxeuiiiiiiiii!

Wewe ni msafi?.
 
Kuna rafiki yangu Mganda uwa ana ni update kuhusu hii issue..
Huyo lawyer ni wale wanaopenda cheap popularity...yani yeye ni wale watafuta case zilizopewa highest media coverage afu aende opposite na society ili nae a make headlines...

Anasema kilomfanya amfanyie ukatili mtoto ni kuomba ela ya kumtumia babake aliyekuwa mgonjwa...
Waajiri wake walimnyima kwa kuwa hakuwa hata na mwezi toka aanze kazi...labda hawakuwa na trust naye kuwa kweli anauguliwa...hata hivyo hiyo kweli ni justification ya kumdunda mtoto????

Nilikuwa nasoma comments blog moja ya wapopo wanashangaa kwa nini mpaka sasa binti yuko hai...wengi wanasema kama wazazi wangemuua...

Na kwa kujiongelesha ongelesha kwake kunamfanya watu waamini wala hana regret...
Mtoto huyu angekufa kama si wazazi machale kuwacheza...yani amefanya kazi chini ya mwezi tayari anataka kuua mtoto wa watu

The only excuse labda waseme ni kichaa ...lakini kama ana akili timamu jela ndio panapomstahili...
mkuu siyo kwamba anatafuta cheap popularity bali ndiyo kazi za wanasheria wa haki za binadamu. hao FIDA wamekosea kumuhukumu mtu kabla ya mahakama, ikingundulika julie ni mgonjwa wa akili si watakuwa wwamekosea sana. inasemekana watu wengi jela walipaswa kuwa kwenye mental institutions.
 
Binafsi namsifu huyo Kamanzi ni mvumilivu sana, ningekuwa mie nadhani ningeshakuwa na kesi ya mauaji. Toka nimeona hilo tukio nimeshaanza mjadala na mke wangu wa kudesign maisha bila hausigeli.
 
Kulea Mtoto wako mwenyewe ni raha isiyo elezeka, but it's always a challenge for us women kuchagua kati ya kulea, na kazi(when you REALLY need to work)
 
Back
Top Bottom