She wants to Abort..!!!?

Kutoa mimba ni kosa la jinai kwa sheria za Tanzania..na hata atakayesaidia kutoa anakuwa answerable pia.
Ila kwa case yako inaonekana mwanamke wako ana tatizo jengine linamsumbua..aidha hajaku'feel' kiasi cha kuzaa na wewe ama haamini kama mimba ni yako. Cha kufanya before hujaenda kisheria zaidi mfanyie counselling na anaweza kubadili uamuzi. Ikishindikana unaweza kuproceed with legal action!!
 
Haya tena wenye kupanda mchicha then ukiota wanasema hawakujiandaa kuwa wakulima..Hebu umuulize shambani alifuata nini?.....Na wakati anatumia muda wake kulima alidhani anafanya nini? Basi ni kwa nini asilime wakati wa kiangazi ambapo ni ngumu kuvuna akasubiri mvua zikanyesha ndo akapanda? Just msijiunge nasi wakati tukiandamana kudai haki ya ndugu zetu waliouwawa kwenye vurugu kwa sababu nanyi wauwaji kama hao polisi.
 
Sheria ya makosa ya jinai sura 16 inakataza utoaji mimba. Ni kosa la jinai kwa mwanamke mwenye mimba kutaka kutoa mimba; pia ni kosa la jianai kwa daktari au mtu yeyote anayetaka kusaidia au anayesaidia kutoa mimba. hivyo njia sahihi kama unataka huyo mwanamke asitoe mimba ni kwenda kuripoti kituo cha polisi kama unaushaidi wa kutosha kuwa huyo mwanamke ana mimba na anataka kuitoa.
 
inawezekana mimba sio yako
au hana uhakika ya nani....
 
Mkuu wangu why uumize kichwa namna hiyo??achana nae fahamu kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume,so mwache atoe kwanza atakupunguzia mzigo,wewe soma maliza anza kusaka hela then after hapo utajuwa nini next na kuowa mke anayekupenda kwa dhati,hivi visichana vya kubabaisha achana navyo kabisa.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kitu alicho kikataza mungu kina madhara yake....Mnaona mnavyo changanyikiwa.

Hivi dogo ungesubiri mpaa ukaowa, ungekuja kutuomba ushauri hapa.

Afu dogo wewe kama unasoma vipi ukimbilie kuzalisha, hata beberu akiona hakuna majani anaweza kuwacha kumrukia mbuzi, mpaa ahakikishe kuna majani yakutosha.
 
huyo mwanamke ana lake jambo.iweje condom aikatae,hajui matokeo yake?huna malengo nae mabaya,bado hakuelewi.halafu huyo useme awe mke wako,mmh.akili kichwani mwako.mimba ni jambo la heri ukiangalia ujauzito umeukubali,atakuja juta.jaribu kumuelewesha
 
Sasa wewe kumbe mwanafunzi, kwa nini unafanya mambo ya wakubwa!

sio mwanafunzi in such coz by now nimeshamaliza degree yangu na kuajiriwa tayari.
Mimi ni mtu mzima sana.
 
Mi najiuliza. Mtoa mada alijiaminishaje kuwa mimba ni yake?
 
Hapana dada Anita.
Nampenda ila sijui yeye kama ana upendo wa dhati kwangu, tumekuwa kwa mahusiano kwa miezi tisa, hata wazazi wetu wanajua hilo na tukapanga kwamba nikimaliza masomo yangu tufunge ndoa.

Sasa wewe kumbe mwanafunzi, kwa nini unafanya mambo ya wakubwa!

sio mwanafunzi in such coz by now nimeshamaliza degree yangu na kuajiriwa tayari.
Mimi ni mtu mzima sana.


Owky baba kijacho, hapo kwenye blue bold ilinichanganyachanganya na kiswahili changu cha chijijini. Kumbe shule ishaisha. Unafanya kazi wapi?
 
Hahaha.... kalaghabaho!

Babu utamchanganya kaka wa watu. Ngoja achacharike mimba isiwe flashed amalizie kufananisha maskio. Ole wako baby alandane na wewe miguu ama maskio, Paw lazma akupe ban
 
Mkuu BADILI TABIA kaa ukijua siku zote neno MWANAFUNZI HUTUMIKA kwa mtu yeyote anayesoma haijalishi shule ya msingi, secondari, chuo au chuo kikuu.
Hapa nimesema kumaanisha kwamba mimi mwaka huu mwezi wa 9 ndo nilimaliza degree yangu lakini kabla ya hapo nilikuwa nipo na kaajira na naendelea nayo mpaka sasa kwenye taasisi moja ya kibenk kanda ya ziwa.
Kuhusu kipata hamna shida na nilishamtoa wasiwasi juu ya hilo.
Tangu jana nimejaribu kuwapa taarifa ndugu zangu na zake kuhusu jambo hili.
Any way hakika nitazingatia ushauri wako kwamba natakiwa kufanya maamuzi magumu kwa kumshirikisha na yeye pia.
 
kwanza kabisa i never support abortion, japo nayajua madawa na wadada hunitafuta niwasaidie lakini uwa siwezi, bora nimuelekeze kwa mtu mwingine amsaidie kutoa....:focus: ningekuwa mimi ningemweleza msimamo wangu na kama angeendelea na msimamo wake wa kutaka kuichoropoa basi ndio inakuwa mwisho wetu hata kama nampenda vipi... mimi chuo nimesoma na wadada wanapata ujauzito katikati ya semester na kama unavyojua shule za maswala ya afya mziki wake ulivyo mnene lakini wanakomaa sasa yeye malengo gani hayo ambayo hayatimizwi akiwa na mtoto? yeye haoni mtoto ni kama baraka? wasichana wa siku hizi mi siwaelewi kabisaaaaaa
 

nafikiri hadi hapo umeshafaham what type of a woman she is,
 

kama hali ni hii naanza kupata shaka kuwa inawezekana mtoto sio wako kama wadau wengine walivyosema, halahala asikuletee mchina tu.....

Nkushauri deal nalo taratibu, keti nae chini umpe tena msimamo wako, umsikilize anasemaje.....aking'ang'ania kuzoa achana nae atakuwa na yake huyo......
 

angekuwa karibu ungemzaba hata vibao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…