Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.
Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja.
August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma.
Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.
Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha.
Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.
Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.
Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?
Ushauri wenu pia.
Hana uhakika km utamuoa na anahc utamkimbia baada ya kuzaa coz wanaume nyie hamtabiriki!
Huyo ni muuaji tu.
Wakati mnamegana kavu kavu alikuwa hajui kinachoweza kutokea?
Alikuwa hajui kama hayuko tayari kubeba mimba kwa vile malengo yake bado hayajatimia?
Ni mjinga kiasi gani kutokujua athari za kumegana bila kinga?
Mijanamke mingine haifai kabisa kuwa hai.
Hivi mama'ake angemuua yeye ingali mimba yake iko changa angekuwa hai leo hii kufurahia kudinywa dinywa?
Pambaaaf kabisa huyo mwanamke.
Sasa wewe kumbe mwanafunzi, kwa nini unafanya mambo ya wakubwa!Hapana dada Anita.
Nampenda ila sijui yeye kama ana upendo wa dhati kwangu, tumekuwa kwa mahusiano kwa miezi tisa, hata wazazi wetu wanajua hilo na tukapanga kwamba nikimaliza masomo yangu tufunge ndoa.
Msaada ndugu zanguni niko cross road mwenzenu.
Tumedumu na mpenzi wangu kwa takribani miezi 9, tukaaminiana, tukapendana na kufanya kila kitu pamoja.
August 25 akaniambia anajisikia kuumwa sana tumbo na uchovu mwili mzma.
Nikamshauri twende hosptl kupima malaria, pregnancy,etc.
Majibu yakaja kwamba ana mimba ya mwezi m1, kwa kweli kila mmoja wetu akatabasamu hasa mie ukizingatia ni uthibitisho wa ulijari wangu na kumhaidi kwamba ndiye mke wangu wa maisha.
Cha kushangaza sana jana kaniambia kwamba anajiandaa kuitoa hiyo mimba coz hakuwa tayari kubeba mimba kwa sasa kwani malengo yake bado hayajatimia, kaenda kwa daktari kamwambia aende jumatano wakafanye hiyo kitu.
Nimejaribu kumshauri asiitoe mimba yangu, hajui mungu kampangia nini juu ya uzazi wake hataki, kasimamia msimamo wake wa kuitoa.
Swali langu kwenu, Je nitaweza kupata msaada wa kisheria kama atatoa mimba hii bila ridhaa yangu?
Ushauri wenu pia.
Naomba tena kuuliza ndugu zangu:
Kwa hapo eti nani mwenye hiyo mimba YEYE au MIMI??
Nani mwenye maamuzi na hiyo mimba yeye au mimi?
Hapana dada Anita.