She started it all, Hakuna hoja ya kuvunja katiba tena.

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,273
Reaction score
13,674
Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena,

Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi.

Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa katiba iliyopo.

Kiapo cha Jeshi ni kuilinda Katiba ya nchi, Rais aliyepo hana uhalali wa kuwa Rais wala kuongoza nchi, Jeshi kuanzia sasa lina haki ya kumtamtambua kama mvamizi wa Taifa na hatua yoyote ya kumzuia Nduli ni haki yao.

Wananchi watatoa mchango wa kila hali na mali, damu, jasho na mali kuwezesha Jeshi linasonga mbele kuelekea DODOMA.

Samia, you fired all of your shots.
 
Samia ukiona watanzania wanaandamana ujue you're on the wrong. Maandamano na watanzania haijawahi kuwa kwenye sentensi moja. Iko siku mtalipa ubaya mnaofanyia nchi hii.
 
Samia ukiona watanzania wanaandamana ujue you're on the wrong. Maandamano na watanzania haijawahi kuwa kwenye sentensi moja. Iko siku mtalipa ubaya mnaofanyia nchi hii.
You're right PAGAN🫔
 
Kiapo cha Jeshi ni kuilinda Katiba ya nchi, Rais aliyepo hana uhalali wa kuwa Rais wala kuongoza nchi, Jeshi kuanzia sasa lina haki ya kumtamtambua kama mvamizi wa Taifa na hatua yoyote ya kumzuia Nduli ni haki yao.
Jeshi hili hili au jeshi lingine?

Hivi mkuu watu wanakusanya na kutanganza matokeo Jeshi lipo linasikia linaona na pengine hata mkunda alikuwepo site kabisa

mbaya zaidi anakuja kutuita waandamanaji sisi ni wahalifu!

Ila watekaji,mafisadi,waliovunja katiba ni watakatifu mbele ya jeshi letu hao hawana makosa kabisa
Ila waandamanaji ndo wahalifu na wanapaswa kushughulikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…