She need it back, am confused

hivi mleta mada unatoa habari, taarifa , unaomba ushauri au unaturingishia ? mambo ya kuamuliwa na moyo wako unaleta huku jukwaani ili yakitokea yakutokea useme ulipata ushauri kutoka kwa ma great thinkers ? jitambue na ufanye mambo kwa kutumia akili yako sio kiuno chako...............
 
one thing again nilitaka kusahau mkuu,unapofanya yote hayo jaribu kuangalia upande wa huyo x wako pia ukoje,wewe mweleze tu hali halisi kuwa unajaribu kuona kama unaweza kuyasolve mambo peacefully na mpenzi wako wa sasa na uangalie anarespond vipi,respond zinaweza kuwa kati ya hizi na hizo response pia zitakusaidia kujua ikiwa kwa kweli utamwacha mpenzi wako wa sasa na kumrudia x wako:

1.anaweza akawa so affected kumwelekea msichana mwenzake kiasi anakuwa anakwambia magombe junior usiuumize moyo wa mpenzi wako wa sasa hata yeye ana moyo na hisia kama mimi na najua ukimwacha lazima aumie naona labda tu haikupangwa mimi na wewe kuwa pamoja naomba usimwache mpenzi wako wa sasa na sisi tuendelee tu kuwa marafiki wa kawaida,anaposema hayo jaribu kuwa mtambuzi ili ujue ikiwa kwa kweli anasema kutoka moyoni au ni unafiki tu,kama kwa kweli umeona anasema kutoka moyoni hapo hata ikitokea mkaachana na mpenzi wako wa sasa for good unaweza kuwa na uhakika x wako atakufaa katika maisha yako.

2.anaweza akawa so rude kuelekea msichana mwenzie haishi kusema maneno ya kejeli kuhusu mpenzi wako,kwa mfano anaweza kuamua kusema akae mbali na wewe ndo akome kuchukua mali za wenzie au akawa anakusisitiza kwa nguvu zote,si umwache tu kwani mwaanume uko peke yako tu?ukimwacha wewe atachukuliwa na wengine!!!!!!!!!mkuu hapa ni kukimbia bila kugeuka nyuma huyo hakufai na kama ndo wazo la kurudiana naye futa kabis hata kama umetoka kuruhusiwa na mpenzi wako wa sasa mrudiane naye kwa wakati huo ni bora urudi ukamwombe msamaha ili uendelee na huyo wa sasa, huyo x wako atakuwa amekuthibitishia kuwa hafai na sio mwema,kama asivyojali mwenzie kuumizwa na mapenzi kuna siku pia hatajali kama anakuumiza kimapenzi.

so take care mkuu,na nina ombi moja tu kwako usiache kutupa feedback na mwisho wa huu mkanganyiko.

Thnx alot mkuu...so kind...
Nimekuelewa vizuri na mio gon mwa options zako tayar nna jibu.....nafkir kwa ushaur ambao tayar jineshaupata kwako na wengne nadhan niko tayar kufanya maamuzi...

I only need sometym ku-relax kabla cjaamua wat next...

Kuhusu mrejesho usijal mkuu...mjengoni km kawa...
 
Last edited by a moderator:
hivi mleta mada unatoa habari, taarifa , unaomba ushauri au unaturingishia ? mambo ya kuamuliwa na moyo wako unaleta huku jukwaani ili yakitokea yakutokea useme ulipata ushauri kutoka kwa ma great thinkers ? jitambue na ufanye mambo kwa kutumia akili yako sio kiuno chako...............

Umevuru...gwa!!!!!!

Kupitia kushauriwa kwa kawaida mtu anaongeza ufanisi wa maamuz...hata kama tayar nna jibu ila kwa ushaur ambao tayar nimeupata nna uwezo wa kufanya maamuz ya busara zaid ata kama yatakua ya mrengo niliokua nao tangu mwanzo...

Watu wengne banaaa...et apo akirud nyumban watoto wanaita babaaa!! babaaa!! kumbe pumba tupu....anafkiria kwa viganja...pambaaaaaf!!
 
you are welcome mkuu anytime n i wish you all the best.
Thnx alot mkuu...so kind...
Nimekuelewa vizuri na mio gon mwa options zako tayar nna jibu.....nafkir kwa ushaur ambao tayar jineshaupata kwako na wengne nadhan niko tayar kufanya maamuzi...

I only need sometym ku-relax kabla cjaamua wat next...

Kuhusu mrejesho usijal mkuu...mjengoni km kawa...
 
me nadhan ungeenda sehemu ambayo moyo wako unapenda aiseee haya hizi ishu bana!!! tena wahi mapema kabla huyo dada hajakoleza penzi
 
Wasalaam wanafamilia wa MMU...

The women of my dream,my one i wish to be with the rest of my life...the one I had history with....she is back...surprisingly!!..she need me back....

Siku za nyuma nilipata kuwahabarisha kuhusu mwanamke ambae alifanikiwa kuuteka mtima wangu...and at the end I said like I still love and respect her...

Pia nilisema I got someone ambae am interested to...na last week we agreed on having relationship....na kwa sasa ni wapenzi..uyu msichana nlienae sasa kwa kweli hafanani na that x of mine coz she got her style but I seem to fall for her......na kifupi tunepanga mengi tayari..

Kimbembe kimetokea leo...x wangu yule amerudi bongo land na kwa namna yeyote atakua ameshavurugana na mkuu wa kule coz after having a loong conversation she said like she need me back....anadhani am the right guy kwake...

Jamani nikubali kua huyu mwanamke ndie nilikua siku zote natamani awe mke wangu na kuniambia hivyo she made my day ....but what confuses me ni kua tayari I gat committed to some one else...sina sababu ya kumuacha the gal I have now....

Nafanyajeeee!!!....natamani kurudiana na x wangu yule hata sasa hivi tatizo ni namwambia nini huyu bibie nilienae!

My x anasema if I agree means am single and ut means her alone....

Wat do I doooooooo

Tukumbushane japo kwa sentensi moja yule wa mwanzo alienda wapi na ilikuwa vp? kama aliondoka kwa wema tu basi bora zimwi likujualo, lakini kama alienda kwa mwanaume mwingine yamemshinda anarudi kwako hakufai ata kwa second, huu ushauri tu akili kumkichwa
 
Umevuru...gwa!!!!!!

Kupitia kushauriwa kwa kawaida mtu anaongeza ufanisi wa maamuz...hata kama tayar nna jibu ila kwa ushaur ambao tayar nimeupata nna uwezo wa kufanya maamuz ya busara zaid ata kama yatakua ya mrengo niliokua nao tangu mwanzo...

Watu wengne banaaa...et apo akirud nyumban watoto wanaita babaaa!! babaaa!! kumbe pumba tupu....anafkiria kwa viganja...pambaaaaaf!!

Ijumaa njema wakuu hahahahahahaha :A S-confused1:
 
Tukumbushane japo kwa sentensi moja yule wa mwanzo alienda wapi na ilikuwa vp? kama aliondoka kwa wema tu basi bora zimwi likujualo, lakini kama alienda kwa mwanaume mwingine yamemshinda anarudi kwako hakufai ata kwa second, huu ushauri tu akili kumkichwa

Santeee...zakuambiwa tajumlisha na zangu....
 
Asabte mku kwa content ya maana....ispokua kuna sehem umechanganya....msichana ambae nahitaj kurudiana nae sie yule x nkieachana nae siku za nyuma apo...ni msichana ambae nilikua nae nikiwa chuo....

Mm ndio niliemuacha tukiwa tunamalizia mwaka wa tatu...kwa sabab alikua na mtu ambae ilisemekana tayar alishatolewa mahari...juz karud kutoka kwa madiba na jana she askd for the renewal.....kiukweli huyu msichana ndie nnaempenda na nilikua tayar kumuoa ata km tutaanzia kulala chin...tatzo likawa jamaa ake....so kama wameachana na ananihitaj and she is free i dnt see myself resisting....

mkuu kama karudi huko huyo yamemshinda hakufai chondechonde my brother usimfikirie na usimpe nafasi move on, muogope sana mwanamke aloonja pengine na kurudi kwako, comparison zitakuwa nyingi kila kitu atataka ku compare take my note please
 
Mara ooooh...kumbe ukivua nguo ata sio mnene ee..pambaaaf!!!!
 
Wakat naanzisha mahusiano na uyo dada nilikua nafikiria kuanzisha mahusiano nae,

Nazijali hisia zake tena sanaa ndo mana natafuta ushauri umu..ingekua vingne ngeshamwambia mdaaa...

Kweny maisha ya mahusiano kuna watu hatuwez kuwasahau (najitumia km refference)..so she the one na tuliachana kutokana na mazingra ambayo sa iz hayapo tena....means we can roll again...

Familia yangu umeiona wap?,,maana m ata cjawah kuwaza inaonekanaje!....umejigeuza mtabir kua ntakua na familia!

ndo uanze kuwaza saiz!
 
Back
Top Bottom