She Makes Me Cry

Kwa vile ww unakuja na stories kila siku za mademu wanaokutaka, maex wanaokung'ang'ania na unaowafukuzia unadhani kila mtu anashiriki ligi yako? U shouldn't care manake hata kama anadanganya haiwezi kula kwako.

Mwambie King'asti.
He should learn to put himself in some other people shoes
 
Kabisa kabisa, tatizo ni moja sio sababu ya kubadilika tu, vipi ukaowe mwanamke ambaye wazazi wake hawakupendi?

Ukisoma swali la mtoa mada anasema wazazi wake hawataki wawe na uhusiano, na kama huyo binti wazazi wake hawataki wawe na uhusiano naye....sidhani kama anaheshima kama anavyo dai mtoa mada.


Heshima inanza nyumbani, huyo ni wale wanao act tu, mana kama hawaombi samahani wazazi wake walio mzaa na hawasikilizi...vipi akaombe samahani kwa asiye mzaa...Inataka akili kugundua mtego huo.

Fazaa,A mepishana na wazazi wake katika swala hili mkuu.She loves me and she wants to be with me,thats the point.Ndio maana haelewani na wazazi.Full stop,hawataki kuheshimu hisia zake
 
pole sana gracious,practically ukimpa mimba huyo dada wazazi wake hawaweza tena kumgomea. nawajua wasabato wanamsimamo sana. Mimi nilipita kama wewe il nilipokuwa mjamzito wazazi waliogopa aibu hivyo waliruhusu mimba ikiwa ndogo. mimi nlikutana na ishu ya kusomea utakatukumeni hivyo niliongea na katekista akanipangia ratiba niliyoitaka nikafanya ila hili sikusema kwa wazazi manake nilijua siyo baya lakini lingewaumiza. baada ya kumaliza nilibatizwa kwa siri pasi wao kujua kwa kutumia jina langu hilihili kisha nikagonga st joseph kama kawa na sasa naenjoy maisha. ni mengi sana ya kukupa kama desa kwenye hili. ukitaka ni pm nikumegee. ila usiendelee kulia please.
 
kama unampenda kweli utafanya chochote muwe pamoja......bila kumuumiza
 
Kwa experience yangu kwa ndugu jamaa na rafiki zangu asilimia kubwa ya watu wanaooa au kuoelewa bila ridhaa ya wazazi wanapata kama mikosi kwenye ndoa zao; hata wale waliotumia tricky ya mimba wengi tu walikuja jutia ubishi wao. Wazazi wana nafasi muhimu kwenye maisha yetu. Wanaweza kuwa wanamwambia binti yao kuwa tatizo ni dini ila si dini kuna kitu wame foresee; wakati mwingine hawa watu wazima wanaweza kujudge just by the look into someone's eyes kuwa huyu kijana hamfai mtoto wetu.

Msikimbilie kuoana jipeni muda, ndani ya huo muda kila mmoja wenu anaweza pata mwenza atakayekubalika kwa wazazi au wazazi wanaweza kutoa baraka zao bila kushinikizwa.
 
Tatizo DINI, je wazazi wake wako tayari ubadili dini ? au wanataka mtu aliyelelewa na hiyo dini yao?
 
Duh! Kumbe ulimpata bibi yetu kwa style hii! Weeni noumer

Fuata nyayo zangu kijana. Baada ya kuona madingi wanaleta longolongo tukakubaliana nikamkabizi mimba. Walipouliza mimba ya nani na kuambiwa ni yangu, kwanza wakamaindi lakini hawakuwa na jinsi bali kushinikiza ndoa ifungwe haraka sana ili kukwepa aibu ya mtoto wa wacha Mungu kuzalia nyumbani.

Chezeya mimba wee.....!
 
Duh! Kumbe ulimpata bibi yetu kwa style hii! Weeni noumer

Umeonaje style yangu? Usisahau tuka ndani ya miaka 11 ya ndoa. Hatujawahi jutia uamuzi wetu na we are the happiest couple in east and central Africa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom