My Irenerose
Ni mrefu lakini si mrefu sana,
Ni mwembamba lakini si mwembamba sana,
She is of medium Size,She is My Alizee of La Isla Bonita
Ni mweupe lakini si mweupe sana,
She is modal,She has cute eyes.
She has the beautiful figure that any reasonable man should get crazy on. My Cute gal, She is My Monalisa
Anapenda kulia anapokuwa na furaha.
Hapendi kukasirika,hata akichukia huwezi kuona
Ana tabasamu all the time,ukimwangalia utadhani anakuita.
Her eyes are damn cute,I love her dental formula,so arranged.
Oh My God,her lips attracts kissing always hua namfananisha na Angelina Jolie for her Lips
Nywele zake ndefu na natural,so amazing,Her Legs are so sexy,her waist so attractive.So good in game
Anapenda kusema Asante ninapomtendea kila jamb😵h My God,nikishukuru ananiambia Asante kwa kushukuru
Ni mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea. Anapenda kunipa Pole hata nikichelewa kuamka asubuhi.
She is good to my friends and my family, everybody in my family loves her, she is so charming
She is a hard worker, She is a good adviser, BUT she is so Jealous
She cries much when I travel, she even follows me where i am ,Oh My God, She comes to my Office during Lunch time she says she cant afford to miss me.Anakuja kwangu hata saa saba usiku,kisa kanimisss.
Wanajamvi,Nifanyeje
- Wazazi wake hawataki nimuoe kwa sababu ya Utofauti wetu wa Madhehebu ingawa wote ni Wakristo.Hua analia sana kutokana na hili,ananifanya na mimi nitoe machozi.
- Anasumbuliwa sana na Other men wanting to take her away from me. Mnaniambiaje jamani,nikimwoa haitakuja kuwa mateso ya maisha kweli manake na mimi nina wivu naye.
Duh!watu waongo humu..
Gracious yawezekana upo serious.... BUT Sometimes thread ikiwa kama hivi kunakua na uwalakini.... Wazazi wanajua mna date na hawataki; Siku zote mtoto wazazi wa mtoto wa kike wakisha jua kuna kijana anamchanganya binti yao (hasa ambao ni wadini); huyo binti anaanza kua chini ya Ulinzi.... Ubavu wa kukufuata luch kila siku na kuja saa saba za usiku kwa binti unakua haupo.
Kwamba hao wazazi ni wagumu kiasi gani wote ni wakristo hawataki muoanae... Ni Wasabato Vs Catholics? Kwamba wewe umefanya/cheza nafasi gani kuonesha huyo binti unamtaka at all cost?
Kingine.... Kama mwanume mwenzio anakujua... na anajua kua una mwanamke wako; na wazi kabisa anataka mchukua hadi wewe uka note... naomba jiangalia mara mbili... Real men don't do that openly; Watafanya dhidi ya back yako lakini sio hadi wewe uwaone.... Please correct me if I am wrong.
na kuna wanawake wazuri wa ku pretend jamani, ila kama yupo hivyo awezi kubadilika .Mimi nakushauri hivi kama wazazi wake hawakutaki achana naye, wacha kujidharaulisha usibabaike na samahani za wanawake, wengi tu wanaomba samahani kabla ya kuwaoa....ukisha owa utaona hata kama wamekosea huwa hawaombi samahani.
Kabisa kabisa, tatizo ni moja sio sababu ya kubadilika tu, vipi ukaowe mwanamke ambaye wazazi wake hawakupendi?na kuna wanawake wazuri wa ku pretend jamani, ila kama yupo hivyo awezi kubadilika .
Mahaba ya dhati namna hii huwa hayarudi mara mbili, Mungu kampa kila mtu mara moja tu na utabaki unasimulia maisha yako yoe, kwamba alitokea binti mmoja ulimpenda sana ila hukuweza kuwa nae, fanya lolote unaloweza kufanya ndugu yangu maana unaweza juta na usifurahie tena mapenzi maisha yako yote.
IT IS JUST HAPpENeD ONCE
.Mimi nakushauri hivi kama wazazi wake hawakutaki achana naye, wacha kujidharaulisha usibabaike na samahani za wanawake, wengi tu wanaomba samahani kabla ya kuwaoa....ukisha owa utaona hata kama wamekosea huwa hawaombi samahani.
Ngoja amalize chuo, muishi pamoja. Mkishazaa mtoto mmoja; wazazi watakuwa hawana machaguo zaidi ya kuwaacha muishi!
Kwa muda huu, nawe ongeza jitihada ya kumtafuta/tembelea ili asikukose sana!
B yake; Badili dini, ukishamuoa rudi kwa Paroko. Lkn mjulishe mpenzio.
Ninachojua ni kwamba kama anakupenda kwa dhati msimamo wa wazazi is not a big dill maamuzi yako mikononi mwenu after all wewe utaishi na mtoto wao na sio wao... kama yeye hayuko tayari kubadili dini na mna kubaliana kwa dhati kila mmoja kuheshimu dini ya mwingine Kanisa litawafungia ndoa kwa sharti kuwa watoto watafuata dini ya baba yao na mama akiri kuwalea kwa msingi huo thats all.
Fuata nyayo zangu kijana. Baada ya kuona madingi wanaleta longolongo tukakubaliana nikamkabizi mimba. Walipouliza mimba ya nani na kuambiwa ni yangu, kwanza wakamaindi lakini hawakuwa na jinsi bali kushinikiza ndoa ifungwe haraka sana ili kukwepa aibu ya mtoto wa wacha Mungu kuzalia nyumbani.
Chezeya mimba wee.....!